Leo nitasema kuhusu ubatizo.
Wakiristo wote duniani wanaamini kwamba,kubatizwa ni moja ya mafundisho ya Yesu. Ukweli ni Yesu alibatizwa (kwa maji ) na Yohana (mtume) na sababu ya kubatizwa ni; Yesu alimuamini Yohana kuwa ni mtume.
Na Yohana aliwambia atakuja nabii atawabatiza kwa roho mtakatifu (kutamkishwa maneno).
Njia ya ubatizo ilikuwa ni kama (shahada) ya kumuamini Yohana kuwa ni mtume.
Asa baada ya Yohana.
Yesu alipoanza kazi ya kuubiri injili kwa waisrael ,hakuwabatiza watu waliomuamini na kumfuata bali aliwatamkisha maneno (shahada).
Mafundisho yote ya ukiristo kuhusu Yesu yako kinyume kwa sababu ya maslahi yao binafsi.