Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous (d932)
Mimi ni Mhitimu wa Diploma ya Pharmacy Muhimbili College of Health and Allied Sciences, nimehitimu mwaka 2023. Nimesoma O-level nina Division 1 ya 14, A-level nina Div 2 ya 12. PCB baada ya kuwa...
4 Reactions
14 Replies
577 Views
Nimeigusa nikaona haikidhi vigezo vya TBS na jamhuri ya muungani nikampa NAULI asepe. Am black america aiseee
2 Reactions
0 Replies
46 Views
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, amefanya mazungumzo na viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA). Kikao hicho kimefanyika Ofisi ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es...
0 Reactions
2 Replies
144 Views
guest-1789818704
Kila changamoto haimaanishi mwisho wa safari. Wakati mwingine unatakiwa kupumzika, kujipanga upya na kuendelea. Usikate tamaa. Endelea kupambana mpaka ufanikiwe. 🔥
5 Reactions
16 Replies
126 Views
Kila wiki ni taarifa mpya ya kukata umeme kwa kisingizio cha matengenezo! Hivi kweli matengenezo gani yanafanyika kila wiki bila mwisho? Wateja wenu wamechoka na wamekerwa. Biashara zinaathirika...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Madereva wa mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani, Mkoa wa Mwanza, wameiomba Serikali kuingilia kati suala la kufungiwa leseni zao, wakidai kuwa hatua hiyo imekuwa ikichukuliwa bila kufuata...
1 Reactions
5 Replies
325 Views
WAKUU, WEEKEND NJEMA! Leo nitaangazia jinsi ya Kumlea Mtoto Akue Kiakili, Kiroho na Kijamii kwa Misingi ya Mila na Tamaduni za Kitanzania. Nikiwa kama baba naelewa kulea ni jukumu na si bahati—...
2 Reactions
1 Replies
136 Views
Asanteni jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro kwa kazi nzuri iliyotukuka kwa kufanikiwa kumtia mbaroni Emmanuel Elisante Mariki kijana aliyefanya ukatiri dhidi ya ubinadamu kwa kufyeka viganja vya...
2 Reactions
12 Replies
229 Views
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya kauli iliyotolewa hadharani na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kuhusu jezi za...
8 Reactions
18 Replies
569 Views
The Forum of Parliaments of the International Conference on the Great Lakes Region (FP - ICGLR), in collaboration with the Parliament of the United Republic of Tanzania, is honoured to announce...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Utangulizi Mzozo mkubwa wa kimaslahi, kisheria na kiutendaji umezuka rasmi katika sekta ya michezo nchini, baada ya kampuni ya kusambaza mavazi ya Sandaland Fashion Wear Limited kutangaza nia ya...
1 Reactions
0 Replies
132 Views
Ameongea Kingai na huu ni mfano wa watumishi wetu wa umma. Mahakama imedharauliwa na jeshi letu limechafuliwa na Kingai. Sifikirii kama maneno hayo ameyatoa kwa niaba ya CDF ama amejitungia. The...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza...
3 Reactions
4 Replies
142 Views
Ushawahi jiuliza inakuwaje tajiri anahonga hadi nyumba mwanamke lakini mwanae akimuomba hata ps3 anakuwa mkali sana, Matajiri hutumia njia ya sex na mabinti wengi ili ku -extend energy ya utajiri...
3 Reactions
1 Replies
119 Views
Habari JF, Baada ya kuchimba, nimegundua vita ya anga sio tena Marekani vs Urusi tu. Kila mtu ana mipango yake na kila mmoja ana sehemu anapolia. Hapa muhtasari: 1. MAREKANI & ISRAEL: Mfalme...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Samia na Bashe mradi ule wa kilimo wa vijana mliowaweka kambini na kuwatengenezea mashamba umeushia wapi? Vipi wale watoto wakike mliokuwa mnawala uroda kule na kuwabebesha mimba mmewasaidia au...
19 Reactions
63 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema mkoa unaandaa utaratibu mpya wa kuwapanga na kuwatambua wafanyabiashara katika eneo la Kariakoo kwa kuzingatia ukubwa na aina ya biashara...
2 Reactions
4 Replies
163 Views
Maisha yanatufundisha kwamba mara nyingi hatujui thamani ya kitu mpaka tunapokaribia kukipoteza. Tunapokuwa nacho, tunakichukulia kawaida. Tunakitumia bila kufikiria kesho. Lakini pale kinapoanza...
2 Reactions
2 Replies
86 Views
Mamlaka nchini Rwanda zimetangaza marufuku ya uvaaji wa mavazi mafupi kupindukia na yasiyo na staha katika maeneo ya umma pamoja na hafla mbalimbali nchini humo. Hatua hiyo imechukuliwa hivi...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Mimi kwa kweli naona zama zimebadikika Huwezi kutoboa kwa system yenye congestion namna hii Naona private sector na waliojiajiri wanakula maisha kuliko wenye ajira. Gharama za maisha zimezidi...
3 Reactions
0 Replies
80 Views
Back
Top Bottom