Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna...
My Take
WaKenya wasipojilinganisha na Tanzania Huwa wanaona hawajashinda Bado.
Ila nimeelewa hapo chini kwamba kila Kila Nchi ijikite kwenye kile ambacho inafanya vizuri zaidi.
Kwa Tanzania ni...
Baraza la wafamasia wamekuwa wakitoa mtihani wa leseni kwa wahitimu wa vyuo vya kada ya ufamasia.
Hata hivyo mitihani hiyo imekuwa migumu na utoaji wa leseni kugubikwa na sintofahamu nyingi...
Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima.
Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa...
1. Duniani Kuna mambo. Nipo hapa Melbourne, Australia. Nimekutana na kitu cha ajabu kiasi.
2. Wenzetu hawa wamefikia kuwa na GENDER NEUTRAL TOILETS yaani humo anaingia yeyote tu bila kujali...
Habari JF, ni katika kukumbushana tu mambo ambayo unaweza fanya baada ya muda ukaja jilaumu sana .
Kufunga kizazi (Tubal ligation kwa kina mama au vasectomies kwa wanaume ) ambako mara nyingi...
Habari.
Naomba msaada kwa anayejua kwa Dar ni wapi naweza kupata CLINIQUE 3 STEPS SET isio fake.
Kuna niliyonunua somewhere,sitataja duka ila nahisi ni fake sbb nimepaka siku moja tu asubuhi...
Hospitali ya Massana ambayo ipo mitaa ya Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam ipo mbioni kufilisika au kufa kabisa kutokana na zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuchukua fedha kwenye Akaunti...
Wasalamu,Ukienda Dar kutafuta pesa wenyeji wanakuambia pesa umeziacha mkoani.
Ukirudi mkoani wanakuambia pesa umeziacha dar.
Watu wa uchumi naomba ukweli hela iko wapi?
Kuna msemo kuwa unaweza kuchagua marafiki lakini huwezi kuchagua ndugu wote tumezaliwa hatukuchagua baba wala mama ikitokea bahati nzuri ukazaliwa kwa wazazi wanaojiweza unashukuru ikitokea...
Ukipata muda ni vyema kuongeza maarifa Kwa kusoma vitabu mbalimbali, ni muhimu vitabu vinaficha mengi mno hicho nimeweka hapo ni KIZURI sna na kitakusaidia sana kimeandikwa na Joel Arthur huyu...
Kuna jamaa tulifanya biashara ya kumuzia tovuti ya biashara. Alitanguliza nusu ya malipo, lakini alipoenda kumalizia, akaghairi na kuhitaji hela zake. Kiukweli, niliuza tovuti hiyo kwa sababu ya...
Naombeni mtusaidie kupaza sauti au kutafuta ukweli kuhusu bima ya afya inayotolewa na NSSF kuna ukiritimba unaifanywa na baadhi ya wamiliki wa hospitali wakishirikiana na wakuu wa makampuni...
Mimi ni mama, nimekuwa nilikiguswa sana na watu hawa wanaonizunguka ambao wamekosa Masada kwa ndugu jamii pamoja na serikali kwa ujumla.
Wa kwanza ni binti mwenye umri wa miaka 30 na kitu...
Nafikiri watu timamu tunakubaliana kwamba @ummymwalimu alikuwa ni ‘mzigo mzito’ katika wizara ya afya, na alikuwa kati ya waziri bingwa wa porojo, uongo na propaganda nyingi, lakini kazi sifuri...
Muda wote akiwa mbunge na waziri wa Ardhi wala hakujisumbua kujishughulisha na maendeleo ya Jimbo lake
Sasa dakika za jioni anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda.
Jimbo la Ilemela Lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.