Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Huyu mtoto amekuwa wakwanza darasani kuanzia la kwanza hadi sasa yuko la nne ila anaishi maisha ya shida hadi uniform na viatu ni changamoto. Napendekeza afadhiliwe ada ahamishiwe shule ya bweni...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma ziliibuka vi microfinance vingi ila miaka 2000 kwenda mbele zilipata faida ya mikopo wanayotumia kukopesha watu mpaka nyengine zikijiweka kama benki. Kutokana na mdororo wa uchumi...
1 Reactions
4 Replies
756 Views
Huwa natamani kukaa na vijana Kama hawa na kuwajenga KIAKILI na kuwarudisha Katika jamii ili waweze kuwa na tija katika familia zao na jamii kwa ujumla. Nawaza kuja kufanya project Kama hii kwa...
30 Reactions
142 Replies
5K Views
Injili ya sasa ni tofauti kabisa na zamani makuhani walitufundisha neno la Mungu lenye kutujenga kiroho zaidi na kutukumbusha tuache dhambi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu Injili hii kwa sasa...
0 Reactions
0 Replies
317 Views
Assalamu alyekum Kichwa Hapo juu cha husika. Kûna mdogo wàngu anataka kusoma degree ya sheria lakini yupo kazini. Sasa ameona atumie Open University. Nauliza hicho chuo kinatoa hiyo programme...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Treni hizi za mwendo kazi siyo za kwanza kuwepo duniani. For many years if not centuries, these kinds of passenger trains have been operating in Europe, particularly Western Europe and North...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba kuuziwa kit ya marathon time hii kwa ambaye hutaweza kushiriki kwa namna yoyote na ulijiandaa, Mods msifute hii thread sababu watu hushindwa kwa namna mbalimbali ikiwemo msiba na safari...
3 Reactions
13 Replies
691 Views
Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza. Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa. Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu...
1 Reactions
2 Replies
191 Views
Nitasema tena na tena kuwa serikali yetu haijawahi kuwa adui kwa raia wake. Haijawahi kuwa na nia ovu kwa raia wake hata siku moja. Watanzania wenzenu ndio wanageuka kuwa adui wa maisha yenu kisha...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kuna mambo unaona yakiondolewa ccm wanaweza kukosa madaraka. Mfano swala la bima za afya zilitakiwa kuwa bure hivi kuna mtu anashindwa kulipa bima kwa mwezi shilingi 4000. Tupo wangapi...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Nimshukuru Mungu kwa kulinda leo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Leo hii saa 4 usiku nipo siti ya mwisho kabisa kwenye daladala ya kutokaea Kongowe kwenda Mbagala Rangi 3 kwenye kilima kile baada ya mto kufika Rangi 3...
25 Reactions
51 Replies
3K Views
STORY FUPI Kuna dogo langu moja amekuja home hapa kama wiki nipo naye leo akasema nifundishe kubeti nikamfundisha aka download Betwinner aka deposit akaandaa odds zake 30 direct win tupu humo...
11 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna Mwanazuoni mmoja anaitwa F.G.Riggs yeye aliefafanua maana ya Maendeleo(Development) kwa Dhana ya Development is Autonomous in which society are able to shape their Social,Economic and...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Yaani chumvi za siku hizi hazikolei kiasi ukinunua pakti inaisha week tuu..zamani wakati nakuwa chumvi ilikuwa inanunuliwa kwa nadra sana sababu ilikuwa haiishi.. halafu hazina madini joto Sukari...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Siku moja baada ya taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro kutoa ripoti inayoonyesha kuwepo kwa abiria wenye lengo la kuhujumu Shirika Hilo hatimaye Leo...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Kwenye maisha usifurahie kila msaada unaopewa na mtu kwa nini kwa sababu hakuna kitu cha bure, kila msaada nyuma yake huwa na kusudi maalumu kwa anaesaidiwa sasa usifurahi kisa umepata kazi...
1 Reactions
10 Replies
928 Views
Mfumo ni muundo unaotumika kutofautisha, kutekeleza au kuonesha majukumu ya kikazi au majukumu, mfumo ni Mchakato wa Mda mrefu ambao huendesha taasisi fulani ni kwamba bila ya Mfumo hakuna...
1 Reactions
2 Replies
370 Views
Wakuu huku kitaa kuna vpn nyingi ambazo wadau wanadai zinapunguza data kuisha au kutumika zingine wanasema ukiwa nayo unatumia data bure
3 Reactions
21 Replies
2K Views
My Take WaKenya wasipojilinganisha na Tanzania Huwa wanaona hawajashinda Bado. Ila nimeelewa hapo chini kwamba kila Kila Nchi ijikite kwenye kile ambacho inafanya vizuri zaidi. Kwa Tanzania ni...
2 Reactions
29 Replies
922 Views
Baraza la wafamasia wamekuwa wakitoa mtihani wa leseni kwa wahitimu wa vyuo vya kada ya ufamasia. Hata hivyo mitihani hiyo imekuwa migumu na utoaji wa leseni kugubikwa na sintofahamu nyingi...
3 Reactions
4 Replies
763 Views
Back
Top Bottom