HIVI SOKA ALIFANYA NINI MPAKA AKAPOTEZWA?

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
16,561
Reaction score
42,954
Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
 
Hao mashetani wanaua tu ,ukitaka kujiuliza soka lifanya nini ,jiulize kwanza CHAULA.

Hao jamaa hata ukicomment barabara ni mbovu au hatuna maji wanapita na wewe.
 
Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
Uchu/hamu ya damu/kujifurahisha/kuwatisha wengine wasioupenda upande wao na kuwakosoa.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=dffHVo3NhEc

Soka alihitisha maandamano ya DP World, japo alihisi hatari, siku ya maandamano hakutokea. Maandamano hayakufanikiwa. Then akatangaza round ya pili ya maandamano, ambayo alitekwa kabla ya hayo maandamano ya 2.

Ukiacha DP World, alitaka wachukuliwe hatua polisi waliotajwa kwenye ushahidi wa Sativa, pia ishu ya Katiba Mpya.
 
Huyu kijana anayeitwa SOKA ALIFANYA jambo gani baya mpaka akauwawa au kupotezwa na wenye mamlaka? Aliwakosea nini? Naomba kufahamu maana binafsi nimemjua baada ya kutekwa na SI kabla ya hapo. Ahsanteni.
kosa lake ni kuwa mwanachama na kiongozi wa CHADEMA
 
Watu wenye roho ya mpinga Kristo huwaga hawana sababu wakiamua kumwaga damu mkuu
 
Back
Top Bottom