Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Askari Polisi Watano(5) na Mahabusu Saba (7) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo maeneo ya Mlima Sekenke Walayani Iramba Mkoani Singida Wengine wawili...
2 Reactions
– Replies
– Views
Mradi wa umeme wenye thamani ya Sh bilioni 8.4 unaotekelezwa na TANESCO katika Jibondo, Mafia – Pwani, umefikia asilimia 82 ya utekelezaji. Mradi huo unatarajiwa kuwafikishia umeme wananchi zaidi...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi...
1 Reactions
1 Replies
86 Views
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amezitaka nchi za Afrika na washirika wa kimataifa ziweke kipaumbele kwenye ajenda ya kutokomeza ugonjwa wa sotoka kwa mbuzi na kondoo (Peste des Petits...
0 Reactions
1 Replies
92 Views
Anonymous
Tunaomba mtupazie sauti sisi mabaharia wa meli za Marekani, baada ya Marekani kuweka baadhi ya nchi kwenye orodha ya nchi zilizowekewa vikwazo vya kuingia Marekani (restricted countries)...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kikoboga, Mikumi – Morogoro umefikia asilimia 75. Uwanja huo wenye njia ya ndege yenye urefu wa kilomita 1.8 utakuwa na jengo la abiria lenye uwezo wa kuhudumia watu...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Huwa ni nawashangaa sana wanaokimbiza na kazi na mafanikio yasiyo na maana kwao. Mtu unasoma mpaka degree ili upate kazi uweze kuwa please jamii, ununue ki IST cha kuvimbia kitaa, yaani una...
17 Reactions
38 Replies
379 Views
Kama ulikua unapenda kufanya activation ya Windows Kwa njia ya Offline 🫵, sasa itakua haiwezekani tena. Lazima kila mtu awe na akaunti ya Microsoft (Microsoft account now is mandatory)...
3 Reactions
6 Replies
317 Views
guest-1790964445
Kwa upande wangu jambo ambalo ni kero kubwa huwa kuna mkanganyiko wa tarifa nikiwa na tembelea profile yangu huwa inaleta tarifa zisizo zangu kwenye (Thread, Reaction na Replies ) Tunaomba...
2 Reactions
8 Replies
62 Views
  • Redirect
Ni ajali ya roli la mafuta na gari ya Polisi , Polisi wote waliokuwa ndani ya gari yao wamekufa wote hapo hapo. Dereva wa roli na tingo wake wameokolewa na Wananchi wametoka salama japo...
0 Reactions
– Replies
– Views
Nimekuwa nikipata hair loss kipindi cha miaka ya hivi karibuni! Nashangaa hili kwa sababu katk ukoo wetu hakuna mwenye uwalaza. Hii husababishwa na nini, na ni supplements gani nitumie kurudisha...
3 Reactions
78 Replies
768 Views
Kadri unavyokua, kuna jambo moja linakuja taratibu na linatoa amani sana: unaacha kuishi kwa ajili ya kuwathibitishia watu kwamba maisha yako yanaenda vizuri. Unaacha kuona lazima kila mtu ajue...
9 Reactions
8 Replies
162 Views
Yeah.. kama Hali ndio hii na mood swings za hapa na pale, Kuna namna mzee naye alimvumilia ... Ndio maana magufuli alikuwa ni one man Army kila mahali yumo ,hakutaka kutumatuma . Alienda mwenyewe...
3 Reactions
0 Replies
118 Views
Moto mkubwa umetokea usiku wa kuamkia leo, Septemba 21, 2026 katika Soko la Machinga jijini Dodoma na kuteketeza vibanda pamoja na mali za wafanyabiashara, huku chanzo cha moto huo kikiwa bado...
2 Reactions
14 Replies
328 Views
Ujenzi wa Skimu za Umwagiliaji za Ludugumo na Mwamapuli katika Wilaya za Nzega na Igunga, Tabora, unaendelea kwa lengo la kuongeza eneo la kilimo kutoka hekta 173 hadi zaidi ya 4,000 na kunufaisha...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Tuwe wakweli wa nafsi zetu, ukilinganisha Zanzibar Vs Tanganyika, utagundua kuwa Watanganyika hatupendani wala hatuipendi Tanganyika. Mfano, Leo hii Zanzibar, Mwinyi "angemficha" makamu wake au...
4 Reactions
14 Replies
183 Views
Jumuiya ya Madola kupitia Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) imetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekusanya Tsh. 150.04 bilioni kutokana na tozo za matumizi ya Daraja la Nyerere Kigamboni katika kipindi cha miaka 10 tangu lilipoanza kutumika Mei 2016...
2 Reactions
5 Replies
362 Views
Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao...
4 Reactions
31 Replies
464 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…