Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria takribani laki nne kuhudumiwa kupitia Kiwanja hicho kwa...
Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza.
Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa...
Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa akiagana na Mwenyekiti
Mgeni rasmi Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe...
Wakuu,
Kwenye haya maisha tuna mambo mengi sana ambayo ni matamanio, na kila mtu nafikiri wanayo. Sasa ni vitu gani ambavyo ulivitamani sana kuwa navyo, yaani ile tu unajiambia I wish, I wish...
Binafsi wakati mwingine namuonea huruma namna watu wanavyomshambulia , ila najiuliza ubora wake upo wapi angalau nimtetee tetee siuoni.
Kila kukicha mambo yanaharibika na kwa namna moja au...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuiga utamaduni wa watu wa mataifa mengine kwa kisingizio cha Haki za Binadamu.
Mhe. Ndumbaro...
Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imetunukiwa tuzo na Taasisi ya Kimataifa ya Tathimini za Huduma na Ubora wa huduma za usafiri wa anga (ACI) kwa kuwa moja kati ya nchi...
Basi kampuni ya mwekezaji kutoka China, New Force/Golden Deer imepata ajali na kuua watu kadhaa.
Wakati ajali hiyo inatokea ndani ya mwezi huu itakuwa ajali ya 3 kwa kampuni hiyo baada ya last...
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki...
Zimesalia Siku 2 kuelekea Hafla ya utoaji wa Tuzo za Stories of Change Msimu wa 4.
Septemba 21, 2024 maandiko bora yenye tija yaliyoangazia katika kuijenga 'Tanzania Tuitakayo' ndani ya miaka 5-...
Kùjifunza ni kitu kisicho na mwisho wala mipaka. Serikali yetu na watendaji wake hawajàona haja ya muda mrefu kujifunza na kuchukua tahadhari dhidi ya fainali ya Ligi Kùu ya mbio za mabasi...
Katika biashara ya migahawa mingi huwa naona rundo la wafanyakazi ukilinganisha na ukubwa wa mgahawa.
Kuna mgahawa nimeona una viti 40 na wafanyakazi kama 30 hivi, kuna migahawa midogo midogo ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama...
Kuna ajali mbaya sana imetokea Mlandizi. Bus moja limegonga lori la mafuta na kusababisha moto, mwenye taarifa zaidi atujuze tafadhali.
Lakini hii Morogoro Road kwa nini serikali haijali...
Habari..
Nimekuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa mambo ya forex trading, lakini kwa upande wangu nikaona ni ngumu kumeza.
Nikaamua kugeukia upande wa pili wa pili wa Binary Options trading, hii...
Inaonekana marejesho ya mikopo bubu ya mali kauli, ile mikopo ya kijumbe, ile michezo ya kutuzana fedha kwa zamu kwa mzunguko wa wiki au mwezi na mikopo ya vikoba imechochea na kuchangia kwa kiasi...
Mimi kuna siku mgeni kaja kunitembelea, sina hata mia mbovu, ndani nina mchele na nje kuna matembele, nikaandaa mboga kwa ajili ya kupika na kubandika wali, basi bwana mgeni amefika tunasubiri...
Zaidi ya 90% ya vijana wanaokwenda chuo siku hizi wanakwenda kupoteza muda wao na kutengeneza mazingira ya kuwa frustrated siku zijazo.
Siku hizi hata ukimaliza chuo na ufaulu mkubwa unatakiwa...
NAIBU WAZIRI KATIMBA: TRILIONI 11.5 ZIMETUMIKA MIRADI YA MAENDELEO KIGOMA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema takribani sh. Trilioni 11.5 zimetumika katika ujenzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.