Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimesikia baada ya Wasaidizi wake kuona kuwa Mitandaoni Kumenuka na kila Kona anashambuliwa kwa Boko lake alilolitoa Jana kuna Kikao kimefanyika huku Mhusika akiwa anatia Huruma kwani kuna Mtu...
49 Reactions
134 Replies
7K Views
Pichani ni kijana aitwaye Aziz Alumini Njombi wa huko wilaya Nanyumbu. Huyu kijana hajihusishi na siasa wala mambo ya uanaharakati na kazi yake ni afisa usafirishaji a.k.a bodaboda. Mnamo...
9 Reactions
67 Replies
3K Views
Naona mambo mabichi kabisa.....kumbe hakufukuzwa kazi in the real sense...ndo maana wakasema wametengua...nadhani Balali bado anazo nguvu nyingi na mambo mengi anayojua Je ina maana alikuwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mshindi wa kwanza wa droo kubwa ya Kampeni ya ‘Tap Tap Utoboe’ ya Benki ya Exim, Geofrey Muganyizi (watatu kutoka kushoto), akipokea kadi ya gari mpya aina ya Mazda CX-5 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo...
0 Reactions
0 Replies
347 Views
Katika maandiko, Mtume Paulo anatoa mfano bora wa mhubiri ambaye lengo lake halikuwa kushawishi akili za binadamu bali kuhubiri kwa nguvu za Roho Mtakatifu. Paulo mwenyewe anasema katika 1...
1 Reactions
0 Replies
477 Views
Hotuba ya juzi ya Rais imeonyesha dhahiri yeye na Serikali yake ni watu wa namna gani. Nilitegemea Rais kupitia hotuba ile angefanya yafuatayo: 1. Kuonesha kusikitishwa na mambo ya utekaji 2...
1 Reactions
2 Replies
411 Views
Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa? Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi. Kadri siku zinavyosogea vinaibuka vizazi hatari kuliko maelezo, karibu asilimia 90 ya wakristo hawasomi hata maandiko (BIBLIA) wanajiendea tu kama kondoo aliepotea. Katika...
7 Reactions
32 Replies
1K Views
Kwa mawazo yangu ya kawaida bila kutumia akili za shuleni kwetu kuna vitu havipo sawa kwenye chi hii. Mfano: Unaenda RITA unafanya maombi ya cheti cha kuzaliwa cha mtoto/watoto etc.. unapewa...
4 Reactions
13 Replies
844 Views
Samahan wakuu hapo sasa kipi kitanipa pesa? Asanteni
8 Reactions
73 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba kupewa tafsiri ya haya maandishi hapa chini
4 Reactions
33 Replies
2K Views
#Part2 WAKILI KIBATALA: Sheria inasema (anataja vifungu) mkimkamata mtu muwe mmekamilisha upelelezi. Sasa nyie hamna ushahidi. Mnaomba mahakama itoe amri ya kuingilia akaunti zake ndio mpate...
13 Reactions
27 Replies
2K Views
Nakumbuka mno Waziri Mmoja aliposifiwa kuwa anajua Kuzungumza na Kupambania Jambo na Kesho akatumbuliwa. Na mpaka sasa haamini kwani alikuwa ameshaota Mapembe tayari huku akijiamini kwakuwa ana...
2 Reactions
8 Replies
520 Views
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari. Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa...
1 Reactions
18 Replies
859 Views
Kituo cha Daladala Simu 2000 kimefungwa leo, Septemba 14, 2024, kupisha ujenzi wa karakana ya mabasi yaendayo haraka maarufu kama mwendokasi. Karakana hiyo ni sehemu ya mradi wa awamu ya nne wa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimeacha kuangalia vipindi vya origino komedi aka kina Joti kwasababu nilihisi wamekosa mvuto. Sasa leo nimepita kuangalia kidogo nikaona kama wamekuwa makada wa ccm vile. Cjui ndio...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mauaji: Baada ya Zombe, Bageni akiri kuidanganya TUME *Afichua kuwa waliidanganya Tume ya Rais James Magai MSHITAKIWA wa pili katika kesi ya mauaji ya wafanyabiashara watatu wa madini na dereva...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Waathirika mabomu ya Mbagala walia fidia finyu Imeandikwa na HabariLeo Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mbele ya baadhi ya waathirika hao, Katibu wa Kamati ya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria takribani laki nne kuhudumiwa kupitia Kiwanja hicho kwa...
0 Reactions
1 Replies
383 Views
Sehemu kubwa ya watu duniani wanaaishi kwenye nchi zinazoendesha magari upande wa kulia. Sisis tukiendesha kushoto kwa sababu ya kutawaliwa na Muingereza. Jambo hili ni hasara sana kwetu. Tukiwa...
15 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom