Tanzania yatunukiwa Tuzo ya Ubora wa Usalama wa viwanja vya Ndege Kimataifa

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
464
1,136
Tanzania kupitia Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) imetunukiwa tuzo na Taasisi ya Kimataifa ya Tathimini za Huduma na Ubora wa huduma za usafiri wa anga (ACI) kwa kuwa moja kati ya nchi zenye viwanja vya ndege vyenye ubora wa usalama duniani.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Profesa Godius Kahyarara amesema tuzo hiyo inaonesha dhamira ya dhati ya Serikali katika kusimamia kwa viwango vya juu usalama wa abiria katika anga la Tanzania.

My take

Wadau tunaopanda ndege kwenda kwenye maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi embu tupeane uzoefu kidogo na kweli huduma ni nzuri kiasi gani?

Soma Pia: Ukitoka kidogo nje ya nchi na ukarudi kwenye viwanja vyetu vya ndege utatamani kulia machozi

Julius_Nyerere_International_Airport.jpg
 
Waliotoa tuzo walilinganisha kati ya viwanja vya ndege vinavyopatikana tanzania, congo na somalia labda
 
Itakuwa ni kujisifia uchawa kupitia AKIA tu vinginevyo, JNIA na KIA hamna kitu .... Ni ushoroba wa kishamba tu ingawa kuna uwezekano mkubwa wa kufanya vizuri. :AYOOO:
 
Back
Top Bottom