Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) imepokea tuzo ya kuwa Kiwanja chenye Ubora wa...
Leo nitafundisha baadhi ya haki zako raia mbele ya polisi
Polisi ni chombo cha serikali kipo cha ajili ya kulinda raia na mali zao
Kimsingi polisi wanatakiwa kuwa rafiki wa Raia ili kushirikiana...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, DK Abdallah Possy aitaka timu ya Simba Sc kutotumia kigezo cha Ugonjwa wa Korona kutaka ubingwa, na hivyo kuwataka waache uoga ili wamalizie ligi
a
Kwanza nichukue muda huu kuomba radhi wasomaji wote wa Jamii Forums jana tarehe 19/9/2024 kwa kuandika taarifa ya upotoshaji kuhusu Mbowe kuahirisha maandamano yaliyopangwa kuanza tarehe...
Halotel Tanzania ina zaidi ya miaka 8 katika utoaji wa huduma ya mawasiliano nchini lakini inashangaza kuna mambo madogo madogo tu wanashindwa kuyaweka sawa ili kuiboresha huduma yao kimawasiliano...
Jeshi la Polisi mkoani Mara linawashikilia watu 18, wakiwemo dereva, kondakta na abiria 16, kwa tuhuma za kumpiga askari wa usalama barabarani aliyekuwa akikagua gari walilokuwa wamepanda. Tukio...
Ligi Ya mabingwa Barani Africa kuendelea Leo Tena ambapo Wawakilishi pekee wa Tanzania kwenye michuano hiyo YANGA SC watashuka dimbani majira Ya saa 2 usiku dhidi ya CBE ya Ethiopia.
Mkondo wa...
Wadau hamjamboni nyote?
Nimekuja na mada kama ifuatavyo
Mabaraza ya Makadinali wa Kanisa Katoliki kwenye Mtaguso wa Roma (382) na Trento (1546)
walisimamia mchakato wa kuchambua, kupangilia...
Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid.
Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
Mimi Kuna Kitu Kinanichanganya Sana Kwenye Hii Serikali Yetu
Wanasema Mimba Na Mtoto Ni mali ya Serikali Lakini Kwanzia Ujauzito Na Mtoto Unahudumia Wewe Sasa Kwanini Kama Mtoto Ni mali ya...
Ile siku Imewadia! Bado saa chache kwenda kuwajua washindi walioibuka kidedea katika Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024
Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu (2024) Washiriki wameonesha ujuzi...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda ameendelea na ziara ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Njombe, leo Septemba 21, 2024 ikiwa ni siku ya pili.
Prof...
Kampuni ya Multichoice inayomiliki visimbuzi maarufu vya DSTV imelamba hasara ya Tshs bilioni 122 kwa miezi sita iliyoishia Septemba mwaka jana sababu kuu ikiwa kupungua kwa wateja wake huku...
Tofauti ya matumizi ya umeme baina ya Mikoa ni kiashiria mojawapo Cha maendeleo hususani ya viwanda,migodi na shughuli za Uchumi na Biashara.
Hii ndio Mikoa 11 inayoongoza Kwa kutumia umeme...
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga ameagiza kuchukuliwa hatua kwa baadhi ya Walimu wanaodaiwa kuchukua rushwa na kuwaandikia mahudhurio ya uongo Wanafunzi 48 wa kike waliobainika kuwa na...
Mzuka wanajamvi!
Jamani tujivunieni kiswahili chetu. Ni lugha nzuri tamu kuongea kuliko lugha zote.
Leo nimekutana na m Vietnam hajui kiingereza nilipomuongelesha akanijibu emahuuuu yashoodhaa...
Serikali wakiweza kulitizama hili basi watoe msaada kwa dada zetu hili tatizo limekuwa kubwa sana, Ukiweza fanya uchunguzi.
Nahisihi serikali kwanini... kwasabau elimu hii ya jinsi ya mwanamke...
Nianze kwa kusema siamini katika chama chochote, na nasikitika kwa kila kibaya kinachoendelea katika taifa hili....kama mmoja wa wananchi na mlipa kodi inauma kuwa wamekula kodi zetu kwq miaka...
Kwa mujibu wa Kanuni za Kanisa la Waadventista Wasabato, yapo mambo 13 ambayo ikibainika bila shaka kuwa umeyafanya, adhabu yake ni KUFUTWA USHIRIKA au kupewa karipio ( inategemea na situation)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.