Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Habarini wakuu? Bila kupoteza muda ningependa tujuzane je kuna ukweli wowote juu ya uwepo wa nchi iitwayo giningi, Kwa wale waliobahatika kusoma kitabu kinachoitwa KIVULI KINAISHI cha mwandishi...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Leo nathibitisha rasmi kupingana na madakitali; Mwili wa binadam haunenepi wala kupungua kwa mazoezi na chakula(Diet) bali kwa kiwango cha furaha alicho nacho binadam (stress and happiness)...
55 Reactions
214 Replies
44K Views
Kweli wapambe wa tajiri wana nguvu. Tayari wapambe walishaenda kampala na kisanganj kuangalia njia na kushughulikia vibali, japo wengine wana mshauri center iwe Kampala to Juba na Kampala to Ben...
20 Reactions
52 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanaJamiiForums habari? Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, Katika utafiti wangu wa miaka kadhaa hatimaye nimebaini kuwa maombi hayatuepushi na mabalaa yeyote kwenye hii...
10 Reactions
59 Replies
2K Views
Mchana Dar es salaam ni mateso juakali na msongomano wa watu sehemu za masoko na vituo vya daladala eg Kariakoo, karume, Ilala boma, Manzese etc unapotembea lazima mgusane gusane na kupigana...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Chonde chonde Serikali yetu, wakulima sasa tunapata shida kubwa hasa maeneo yetu huku Pwani Mazao karibu yote yanasakamwa na kunguru, wanaharibu mazao kama, Tikiti maji, sweatmelon, sweatcon...
0 Reactions
6 Replies
501 Views
Dah enzi hizo hizi shule zilikuwa moto balaaa Ukisikia mtoto anasoma huko respect Nimezikumbuka sana leo, hivi bado zipo?
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Leo nilibahatika kununua kg ya maharage ya njano na nimeshangaa sana kuambiwa ni shs 3400 kg moja. Serikali ijaribu hili la kuangalia bei za vitu zizpande at a skyrocketing rate watu masikini...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Atatoka tu, Mungu atamtetea, sisi huku ni watu wa mungu tunapiga goti kuomba na kufunga lakini pia na sisi tumeuza cocoa pesa hapa tunachanga, tuteue watu wawapelekee mawakili huko mjini...
3 Reactions
6 Replies
559 Views
Hivi huduma shule za sekondari Tanzania zimeboreshwa? Nakumbuka miaka ya 90's tulikua tukisikia migomo ya wanafunzi kila kukicha. Miaka ile ndio palitokea mgomo Sekondari ya Tambaza na wanafunzi...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Wakuu naomba kuuliza kati ya vitu tajwa hapo juu kwa kijana ambaye ni Muajiriwa amejichanga na kuweza kusave wastani wa 10 milioni. Ni kitu gani aanze kumiliki katika harakati zake za Maisha...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Askari mmoja wa kituo cha polisi Muleba (jina lake linaifadhiwa) ametekwa na Mhasibu wa halmshauri ya wilaya ya Muleba hadi alipopatikna akiwa njiani kupelekewa katika maeneo ya vijijini kwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee Nimejichanganya aiseee!!!
7 Reactions
77 Replies
3K Views
Teknolojia imefika mbali sana, bro! Unakumbuka zile enzi ambazo simu za mkononi zilikuwa kubwa kiasi kwamba ilikuwa lazima ubebe kwenye begi? Sasa tumefikia wakati ambapo tunaweza kuvaa...
2 Reactions
3 Replies
511 Views
One Day To Go! Hafla ya utoaji wa Tuzo za Shindano la Stories of Change Msimu wa 4 inatarajiwa kufanyika kesho, Septemba 21, 2024 Mwaka huu Washiriki wameonesha uwezo wa juu katika kuijenga...
3 Reactions
3 Replies
560 Views
Arovera, mrangi, Bila bila, King Kong III, SAGAI GALGANO kuna Mtu kawaiteni huko 'Makhulukutabu' mmekubali Wakuu?
7 Reactions
9 Replies
573 Views
Mrithi wa aliyekuwa mtabiri na mganga wa kienyeji marehemu Shekhe Yahaya Hussein, Hassan Yahaya ametabiri mambo mbalimbali yatakayotokea mwaka 2014,kubwa amesema ametabiri kiongozi mkubwa wa chama...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Umuhimu wa Mtu ni pale akiwa hayupo, Tunamshukuru sana Rais Jakaya Kikwete Kwa kuitumikia nchi hii Kwa moyo mmoja, Ukweli ni kwamba kipindi chake ilikuepo mazungumzo ya mara Kwa mara na...
1 Reactions
5 Replies
551 Views
Tuendelee kukumbushana kila wakati juu ya ulaji sahihi kwa ajili ya kutunza miili yetu, japo kuna watu husema tutakufa tu hata tufanye nini lakini ni muhimu kuwa na tahadhari juu ya maisha yako ya...
7 Reactions
17 Replies
931 Views
Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives. Ukumbwa Mafia -435 KM2 maldive -300 KM2 UCHUMI MALDIVES -6 Billion za kimarekan MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin) SHUGHULI ZA UCHUMI...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Back
Top Bottom