Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,697
- 13,366
Serikali wakiweza kulitizama hili basi watoe msaada kwa dada zetu hili tatizo limekuwa kubwa sana, Ukiweza fanya uchunguzi.
Nahisihi serikali kwanini... kwasabau elimu hii ya jinsi ya mwanamke kutunza afya ya sehemu zake za siri hasa Uke pamoja na Mfumo wa uzazi haijapewa kipaumbele hata na Watoaji huduma za Kiafya Mahospitalini.
Mala nyingi tatizo linakuja kutambulika likiwa limepata usugu na kupona kunahitaji matibabu ya Muda mrefu na gharama kubwa.
Kama ilivyo Mahusiano ya Mwanamke na Mwanaume yalivyo na umuhimu basi na afya ya uke na afya ya uzazi ni Muhimu kwa mabinti wote.
Serikali ikiweza itoe fungu kusaidi huduma ya matibabu hayo itolewe kwa njia rafiki hasa kwa mabinti.
● Magonjwa ya ukeni kama Fangasi ukeni na Kisonono.
Kisonono na magonjwa mengine yanayojulikana kama STI/STD huwa na dalili moja tu mwanzo, alufu mbaya ukeni na kutokwa uchafu, na mwanzo mabinti wengi hufikiri ni uchafu tu wa kawaida, kisonono uambatana na Fungusi ni rahisi kuweka nguvu kutibu fungus na kusahau gonjwa lingine ukeni.
Kwahiyo mabinti wengi wakiona hii hali hukaa kimya hasa wakiwa hawana wapenzi, na kufikiri ni uchafu tu na anatakiwa kuzidi kuwa msafi na kujisafisha vizuri kutamaliza tatizo.
Pia fangusi ni ugonjwa ambao mala nyingi hushika nafasi pale mtu kinga ya mwili itashuka kwa sababu fulani basi fangasi hushika kazi zaidi, tatizo hili ni common kwa wajawazito na baada ya kujifungua linatakiwa kutibiwa kwa dozi kamili.
Kisonono hufanana dalili zake na magonjwa mengine ya mfuko wa Uzazi kwahiyo bila uchunguzi makini ni rahis kutokugundua chanzo.
Mwanamke anaweza kuishi na magonjwa ya ukeni bila kuonesha dalili yoyote ya kutisha, na kupelekea mabinti wengi kukaa na magonjwa ya ukeni Muda mrefu bila kupata matibabu.
Siwezi kueleza magonjwa haya kwa upana wote lakini Sekta ya Afya inapaswa kulitizama hili kwa jicho Pana,
Vifaa na vipimo kwa upimaji wa matizo haya hakuna kabisa kwenye vituo vidogo vya afya, kusababisha utoaji wa dawa nunu nusu bila kujua ukubwa wa tatizo.
Mwanaume ukipata Gono siku tatu tu ukiona uume unatoa uchafu na kuuma lazima ukimbie kutafuta matibabu. hata kwa kukopa fedha. Na kwa upande wa fangus huishia ngozi ya nje na fangusi hawawezi kuingia ndani ya ogani za mwanaume za uzazi.
》Kulinda Afya ya Uke Ni Jukumuletu Sote:

Muwasho ndio dalili pekee ya mwanzo lakini tatizo likifika ndani, muwasho unakuwa sio sababu ya binti kujijua ni mgonjwa. Utandu mweupe huanza kutoka ndani Ukeni.Fangasi huanza taratibu, nje ya uke na kisha ukeni ndani.
Kisonono na magonjwa mengine yanayojulikana kama STI/STD huwa na dalili moja tu mwanzo, alufu mbaya ukeni na kutokwa uchafu, na mwanzo mabinti wengi hufikiri ni uchafu tu wa kawaida, kisonono uambatana na Fungusi ni rahisi kuweka nguvu kutibu fungus na kusahau gonjwa lingine ukeni.
Kwahiyo mabinti wengi wakiona hii hali hukaa kimya hasa wakiwa hawana wapenzi, na kufikiri ni uchafu tu na anatakiwa kuzidi kuwa msafi na kujisafisha vizuri kutamaliza tatizo.
Pia fangusi ni ugonjwa ambao mala nyingi hushika nafasi pale mtu kinga ya mwili itashuka kwa sababu fulani basi fangasi hushika kazi zaidi, tatizo hili ni common kwa wajawazito na baada ya kujifungua linatakiwa kutibiwa kwa dozi kamili.
Kisonono hufanana dalili zake na magonjwa mengine ya mfuko wa Uzazi kwahiyo bila uchunguzi makini ni rahis kutokugundua chanzo.
Mwanamke anaweza kuishi na magonjwa ya ukeni bila kuonesha dalili yoyote ya kutisha, na kupelekea mabinti wengi kukaa na magonjwa ya ukeni Muda mrefu bila kupata matibabu.
kwahiyo binti ataficha ukweli hata kwa mlezi wake. ambaye ndie anatakiwa kumpeleka akapate matibabu.Wengine huwa na hofu ya kujieleza hasa pale wanapogundua kuwa uwenda chanzo cha dalili hizo ndogo anazoziona ni kushiriki Ngono,
Magonjwa yote ya ukeni yakiwa sugu husogea na kuathiri seli za uterus (Mfuko wa uzazi), mwisho ni dalili mbaya ya maumivu makali ya tumbo la chini hasa kipindi cha hedhi.
Siwezi kueleza magonjwa haya kwa upana wote lakini Sekta ya Afya inapaswa kulitizama hili kwa jicho Pana,
Vifaa na vipimo kwa upimaji wa matizo haya hakuna kabisa kwenye vituo vidogo vya afya, kusababisha utoaji wa dawa nunu nusu bila kujua ukubwa wa tatizo.
Changamoto zipo pande zote mbili, kwa wagonjwa na watoa matibabu hasa ya kielimu kujua undani wa tatizo.
Wanaume sio wahanga sana katika hili kwa sababu moja, maumbile ni tofauti na maumbile ya mwanamke,
Magonjwa haya ni chanzo cha Magonjwa mengi makubwa ambayo hupelekea hadi matibabu ya upasuaji.
Muda wa matibabu huanzia wiki hadi mwezi, kupelekea wengi kutumia dozi nusu. Umezaji wa vidonge huambatana na cation kuwa dawa haziendi na kilevi (alcohol)Madawa ya kutibu.