Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimeshtushwa na ulinzi wa namna ile tena kwa Daktari anayekutana na watu kila uchwao. Kuonana na Profesa Janabi ambaye ni Mkuu wa Taasisi ya Moyo Muhimbili - Jakaya Kikwete Cardiac Institute...
44 Reactions
373 Replies
60K Views
Nini maana ya Shukrani? Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na...
1 Reactions
0 Replies
20 Views
Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi...
0 Reactions
0 Replies
14 Views
Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO! The Mind Game Control Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale...
9 Reactions
23 Replies
268 Views
1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania. 2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
27 Views
TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi...
1 Reactions
1 Replies
250 Views
Nauliza TU. Yani na yeye siku aamke asubuhi ajikute hana cheo chochote kile. britanicca
4 Reactions
7 Replies
221 Views
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona...
22 Reactions
166 Replies
2K Views
Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink. Ni Nini?
5 Reactions
13 Replies
249 Views
Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado... Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa. Cc Interlacustrine R
2 Reactions
54 Replies
305 Views
Tunapongeza jitihada za ujenzi wa barabara zetu, hususani mijini. Lakini tatizo linakuja kwenye quality control. Barabara nzuri inakamilika, halafu unawekewa speed bump ya kijinga kama kichuguu au...
1 Reactions
0 Replies
30 Views
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
3 Reactions
3 Replies
42 Views
Watu wakiwa wanaendelea na harakati za kirasiku, sokoni wauza mbogamboga, garage fundi makanika, huku vijana wakiendelea kuchombezana. Kutatokea shambulio la kushtukiza zito, katika mahala...
4 Reactions
17 Replies
353 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi...
3 Reactions
16 Replies
222 Views
Nafsi ina msuta ila asili yake sio kuwa radicals kama wenzake.
2 Reactions
1 Replies
94 Views
Ndoto zingine bwana mwishowe ujikojolee na utu uzima huu. Eti nimeota Lissu amekua makamu wa raisi. Sijui nani kanivutisha bange usingizini.
4 Reactions
21 Replies
155 Views
========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa...
53 Reactions
227 Replies
15K Views
Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba...
1 Reactions
7 Replies
83 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…