Namna ya Kumshukuru Mungu

Namna ya Kumshukuru Mungu

Mwl Mwakujonga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2023
Posts
358
Reaction score
708
Nini maana ya Shukrani?
Kumekuwa na maswali mengi kwa watu juu ya kumshukuru Mungu na kila mmoja anasema yake

Kumshukuru Mungu ni zaidi ya kutoa sadaka, ingawa kumshukuru Mungu kunaambatana na sadaka

Mambo ya msingi katika kumshukuru Mungu

Jambo la kwanza
Moyo wa shukrani
Moyo wa shukrani ni ule moyo unaokusukua kuonyesha ni kwa namna gani Mungu amekutendea kilicho bora

Moyo wa shukrani unakupa ujasiri wa kufanya kitu cha imani pasipo msukumu wa nje, yaani ndani yako unaamua kufanya kitu ili Mungu na dunia wajue kwamba unamshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom