idiomer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 238
- 258
1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania.
2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna wafanyabiashara walikuwa wanashindwa kuwawahi watawawahi.
3. Kodi ya serikali itapanda kwani wafanyabiashara wakiwahi mauzo yanaongezeka na kodi inaongezeka
4. Migogoro ya familia itapungua kwani baadhi ya ndoa zimeharibika kwa sababu ya foleni.
5. Afya ya akili kwani kukaa kwenye magari muda mrefu watu wanashindwa kupata muda wa kupumzika majumbani kwao. Hata kushiriki chakula cha usiku inakua shida kwa baadhi ya familia.
6. Baadhi ya nyumba zilizo nje ya mji zitapata wapangaji na kukuza mji. Mfano mwendokasi zilivyokuwa zinafika mloganzila kibaha zilichangamsha mji. Mtu anapata huduma za afya au biashara kwa haraka.
7. WATOTO taifa la leo na kesho wanawahi shule na kuwa wachangamfu hawajakaa sana kwenye magari. Dereva analazimika kuanza kuchukua watoto saa 11 alfajiri ili kukimbizana na foleni.. vipindi vinaanza saa 2 asubuhi. Anakaa masaa 3 bureee. Bila usingizi mtoto hawezi kuwa makini na mgunduzi.
Nampongeza Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na wakuu wa wilaya wake hasa wa Ubungo kwa juhudi zao. Mabasi yaende magufuli bus stand.
Kama kuna changamoto zitatuliwe. Tubadilike tusiwe vile vile kila miaka. Pia kodi inapotea magari yasipopitia stand ya magufuli.