Sina usingizi

Sina usingizi

Inategemeana unaitumia kwa lengo gani mkuu?
Kama kiungo cha mboga its okay...
Kama dawa mfano kuna wengine wanatumia kwenye vidonda its okay!

Kama utaitumia ukahusisha imani yoyote tofauti na neno la MUNGU unakuwa against, hapo inakuwa ni ibada ya sanamu...
 
Zipo taarifa ambazo mpaka sasa nipo njia panda zikihusishwa kuwa
1 .kama ukiogea au kusafishia ene lako la makazi au biashara Lina vunja nguvu hasi
Na kuleta mvuto
Je ni Imani ya kiroho ,au maaandiko .
Kuna uhusiano Gani na neno la Mungu na chumvi ya mawe .
Siri Gani ipo
 
Hata mimi haya masuala ya chumvi nimeyasoma humuhumu, anayajua Mshana Jr na ina maelezekezo hadi siku za kutumia.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom