W izara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imefanya marekebisho ya ratiba ya upimaji na mitihani ya Taifa kwa mwaka 2026, kwa lengo la kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kutokana na uwezekano wa...
Lisu ni Icon
ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
Lissu shikamoo
Wewe ni mwamba wa sheria nchini.
Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza
Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna...
Kifuani ana screen..... Unaona kama a akupenda au anakudanganya. Hapo ana macho kama ngumi, bikra kila unapomaliza inajirudi.
https://www.instagram.com/reel/DdnzJVFu5qJ/?stkn=MXEzaWllcGd4M253MA==
Tunapofikiria mwaka 2035, ni rahisi kufikiria magari mapya, majengo marefu na teknolojia kubwa. Lakini swali muhimu zaidi ni mtu wa kawaida atakuwa anahitaji skills gani?
Teknolojia inaweza kuwa...
Niungane tu na mheshimiwa makonda moja kwa moja jersey zile hazijashiba kile tunachotaka kuwaonyesha wageni wetu.
Hii ndiyo sandaland alitaka tuwe nayo!
But why not this one!
Usikute kuna kilaza anadhani swali langu limeuliza " Je ndani ya Qur'aan kuna Aya inayosema Yesu ni Mungu? ". Hiyo sio mantiki yangu. Analogy au mfanano wa mantiki yangu ni kama ifuatavyo. πππ...
Habar za mda huu wadau mimi ni dalali wa vyumba viwanja frames hostels na ofisi nilianza rasmi 2024 sasa nimewaza nataka nijiweke kisasa naomba nitapataje kibali au leseni ya udalali nataka huu wa...
Kuna sintofahamu imeibuka baada ya Greda la Manispaa ya Moshi alilokuwa akilitumia mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Ibrahim Mohamed Shayo kukarabati barabara za pembezoni mwa jimbo lake kudaiwa...
Naishi Zanzibar, Mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Magharibi B, ni mtumiaji wa Mtandao wa Halotel kwa takribani miaka nane sasa, lakini kwa kipindi hiki nimekuwa nikikumbana na changamoto ya...
Baadhi ya wasafiri wanaotumia usafiri wa umma katika njia ya Arusha β Moshi β Arusha tumekuwa tukikumbana na changamoto kuhusu utofauti wa bei ya nauli inayotozwa na watoa huduma.
Katika nyakati...
Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671.
Katika zoezi hilo...
Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya...
Nafasi iliyopo kati ya unachokiona na na kitu chenyewe ndipo mchezo wa kiumbaji na upotoshaji wote unapofanyikia. Katikati ya maisha yako na matokeo unayoyaona katika maisha yako kuna nafasi...
Je, kuna ukweli wowote kwamba nembo za vifaa vya michezo (kama vile Nike, Adidas, Puma, au nyinginezo) ni ishara za Freemason. Je ni (conspiracy theories) na uvumi wa mitandaoni ambao hauna...
Leo ni siku ya wafamasia duniani. Wataalamu hawa wa afya upande wa dawa ni wa muhimu sana. Kwa Tanzania hii ni sehemu muhimu ya huduma ya afya. Mtu akiumwa kwanza kabisa anakimbilia duka la dawa...