ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,808
- 50,403
Nini huwa sababu, au ni kipi kinapelekea mtu kusema:
Ujue mimi mtu fulani simkubali wala nini!
Ukimuuliza why? hana sababu
Kwa kifupi, yeye anadai tu hamkubali tu
Hivi hili linawezekana vipi? 🤔
Yaani mtu usimpende au usimkubali bila sababu?
Au sababu ipo ila imejificha kiasi kwamba hata mhusika mwenyewe haijui?
Au mwingine atasema:
Mi mtu fulani namkubali ki noma noma
Ukimuuliza why? anasema
Basi namkubali tu
Hivi huwa kweli ni basi tu au kuna sababu fulani nyuma yake ambayo hata wewe mwenyewe huijui?
Au tuseme labda mtu humkubali mtu fulani bila kujua sababu, kumbe behind the scenes huyo mtu si mtu mzuri?
Yaani huwa kuna nguvu fulani inayotokea ndani yetu ambayo hatuielewi, ikitusukuma kumkubali au kutomkubali mtu fulani kwa sababu labda inajaribu kutuepusha na madhara ambayo yanaweza kutokea?
Au yote haya ni namna tu akili yetu inavyofanya observation, bila sisi kujitambua?
Na mwisho kabisa…
Je kutokumkubali mtu tafsiri yake ni chuki ?
Au kuna tafsiri nyingine ?
Chemsha bongo 🧠na ShesRise_1 ✋️