Pombe za Kienyeji ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ambavyo vimesaidia familia nyingi za 'Nshomile' kupata elimu, leo hii wapo maprofesa, Daktari, Injinia, Walimu na Wafanyabiashara ambao misingi...
Nimeona nianzishe thread maalum kwa ajili ya kufafanua program ambazo kila uchao zinatangazwa humu jukwaani kama njia rahisi ya kujipatia fedha mtandaoni ilhali ni Ponzi. Mfano wa program hii ni...
Wakili na mwanaharakati Tito Magoti amewataka wahitimu kuacha kutumika kusambaza hashtags na badala yake watafute kazi za kufanya za kuwaingizia kipato wasitumike kama TP.
Kupata taarifa na...
Dar Es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha haya ndiyo majiji yetu pendwa hapa nchini na kuna (Dodoma) na (Tanga) haya huwa kama siyaelewi hivi.
Dar Es Salaam kuna Magufuli Bus Terminal, Mwanza kuna...
Ambaye amewai fika na kuishi chini maurritius tunaomba atupashe habari kuhusu nchi hiyo kuanzia utaratibu wa kuingia chini humo,Maisha ya kila siku na shughuli za kiuchumi kama ajira na...
Habarini wakuu wa kazi naombeni kujuzwa utumishi (sekretarieti ya ajira wanatumia utaratibu gani kumpata mshindi wa baada ya oral interview?
Kuna post moja ya kazi ilitangazwa waombaji waliofanya...
Nichukue fursa hii kwako Waziri Ulega kwa kulichukulia hili jambo kwa uharaka na hatimaye eneo moja Kigamboni limekamilika baada ya ziara yako. Ntakuwa mtovu wa fadhila bila kukushukuru kwa...
Wanaume,
Maisha ni magumu, najua. Wakati mwingine unahisi kukata tamaa, lakini kumbuka, "maisha yanapokupa ndimu, tengeneza sharubati ya limau." Unastahili maisha bora, hivyo endelea kupambana...
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema makosa dhidi ya binadamu kwa upande wa makosa ya mauaji yameongezeka Zanzibar.
Akitoa...
Wasalaam,
Ni imani yangu mu wazima wa afya, kama kichwa cha uzi huu kinavyosomeka, lengo la uzi huu ni kushare experience ya matembezi katika maeneo tofauti tofauti ya kuvutia na vivutio vingine...
Naibu Kurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Naibu Kamishna wa Polisi DCP. ZUBERI CHEMBERA amesema Makosa dhidi ya binadamu yamepungua ambapo yameripotiwa jumla ya makosa 1,116 katika Vituo...
Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,
kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, pamoja na Viongozi mbalimbali wa ngazi ya Mkoa na Wilaya, wakiongozana na Wananchi wa Mkoa wa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni imewahukumu adhabu ya kifungo cha maisha jela vijana Watatu kwa kosa la uzalishaji na usambazaji wa pombe kali bandia wakitumia Kemikali ya ‘Ethanol’ isivyo...
Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha.
Hakuna ubishi.
Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad.
Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa...
Wajumbe wamempitisha kwa 100% kuwa mgombea wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi 2025/2030.
Hakika naamini atashinda kwa kishindo mwaka huu.
Mungu amlinde Rais wetu, wenye wivu wanywe sumu kabla ya...
Habari Wana Jamvi,
Mitaa mingi ya Jiji la Mbeya kwa sasa imekuwa ikikambiliwa na changamoto ya ongezeko la vibaka au matukio yanayohusisha vibaka.
Kumekuwa na matukio kadhaa ya watu kuripoti...