Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa wanaoajiriwa kuangalia afya wako wapi au ndio kuchaguana
0 Reactions
0 Replies
224 Views
Maoni binafsi Dini -ni Kama mfupa mgumu ambao walipewa watu waangaike nao -kuumeza huo mfupa wengi hawawezi kuumeza wala kuuvunja. The bible is there Quruan is there But only few people can...
11 Reactions
36 Replies
1K Views
Taka zilizokuwa zimerundikwa barabarani kwa zaidi ya siku tatu eneo la Tegeta - Kwandevu na kusababisha kero kwa waendeshaji wa vyombo vya moto sambamba na kuhatarisha afya za Wananchi umezolewa...
0 Reactions
1 Replies
740 Views
Ndugu wanajamii, Kama kijana mwenye mapenzi makubwa kwa taifa langu, nimebuni wazo la kuanzisha Klabu ya Uzalendo Mashuleni. Lengo kuu ni kuwajengea wanafunzi maadili, uzalendo, na dhamira ya...
0 Reactions
4 Replies
435 Views
Uandishi sio mzuri sana UTANGULIZI Kwanin watu ambao ni devoted kwa Mungu inawawia ngumu sana kufanikiwa mfano kwanin waimbaji wengi wa kwaya au injili hawafanikiwi kama wasanii wanaoimba nyimbo...
19 Reactions
29 Replies
5K Views
Imefika kipindi tu ukifungua App ya jf basi katika mada tano za juu huwezi kosa mada ya kataa ndoa au wanawaka wanaomba sana pesa yaani hoja ya kuwaponda wanawake kuwa ni omba omba huwezi ikosa...
10 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari wakuu? Naomba details za mawe haya ambayo mjomba angu aliefariki aliyaacha. Nimeambatanisha picha za aina mbali mbali za mawe alizoacha
1 Reactions
9 Replies
525 Views
Kama kachoka kweli mbona hajasema kuwa Kachoka kuwa Mbunge huko aliko na bado tena mwakani anagombea? Na hili ndilo limekuwa tatizo lenu wana CCM japo Mimi si Mwanachama wenu ila ni Shabiki yenu...
2 Reactions
6 Replies
704 Views
Naam Wakuu, leo hii majira ya saa nane mchana, nilipita mlimani city ilipo HQ ya Vodacom Tanzania. Safari yangu hii ilikua ni kwa ajili ya kuonana na marafiki zangu niliosoma nao chuo wanaofanya...
6 Reactions
22 Replies
14K Views
Malast born tunawapenda lakini huwa mna mambo yenu flani flani ambayo yanaboa sana kwahiyo kaka yenu nimeamua niwachane,na hata kama ni mzee kuliko mimi ila kicheo wewe ni wa mwisho kuzaliwa...
0 Reactions
2 Replies
353 Views
Kwamba yeye ndie mwenye neema kuu ya Mungu basi kwa hio yeye na utajiri ni pua na mdomo. Mimi naendeleea kuwa hivyo kwa maana imani yangu ni haba, sijui kuomba vizuri, sijui kuvumilia , nasali...
29 Reactions
136 Replies
5K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Januari 3,2025 lilipokea taarifa kutoka kwa Uongozi wa Shule ya Baobaob iliyopo Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani ya kutengenezwa na kusambazwa katika Mitandao ya...
1 Reactions
1 Replies
944 Views
https://www.youtube.com/watch?v=TUrJvSaBNEQ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Dkt. Tedros...
0 Reactions
1 Replies
604 Views
Hamas walitegemea watachapwa hata miezi 3 alafu UN na Iran waingilie kati wawaokoe ila kilichofatia ni miezi kadhaa ya kusaidiwa kwenda kugombaniana mabikra 72 huko waendapo.
3 Reactions
6 Replies
399 Views
Nafikir kama unaimiliki namba ya Nida au kitambulisho Cha NIDA hasa wale walioandikishwa wakati zoezi la utoaji wa NIDA linaanza utakubaliana na mimi mambo yafuatayo: 1.picha zetu sio halisia...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo...
0 Reactions
1 Replies
379 Views
Huyu binti Ngwasi wengine wakiumuita Mwasi ni mbunge kupitia vijana na anatokea mkoa wa Mwanza. Pia ni mwanasheria ambaye aliwahi angaziwa ahapa JF kupitia uzi huu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous
Hapa ni MWANZA, Wilaya ya Misungwi eneo la Kata ya Usagara, Kijiji Nyang'omango, Kitongoji cha Nyaruhama katika eneo hili kuna tatizo kubwa la maji safi na salama Wananchi wanatumia maji...
0 Reactions
0 Replies
594 Views
Nikusalimu Ndugu!! Kwa kuwa tumepewa UHAI basi wajibu wetu ni kuhakiki wajibu unatimizwa wa Kila mmoja wetu akiwa na huu Mwili, usijipe woga Wala USIOGOPE Kuwa na wazo mbadala. Maisha ya hapa...
13 Reactions
44 Replies
2K Views
Back
Top Bottom