Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

VACANCY Chief Imam is needed at One Mosque in Scotland, United Kingdom. Requirements: 1. You must have 60hizb of the Holy Qur'an. 2. You must have knowledge of Fiqh, Hadith, Sira, and other...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Utangulizi Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa...
1 Reactions
28 Replies
1K Views
Wadau wa hisa leo mmeliona hili tatizo? DSE mnakwama wapi? Nawasilisha ila mpaka sasa bilabila na hamna taarifa rasmi.
0 Reactions
4 Replies
357 Views
Wadau hamjamboni nyote? Or were you witnesses when death approached Jacob, when he said to his sons, "What will you worship after me?" They said, "We will worship your God and the God of your...
29 Reactions
589 Replies
28K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Shinyanga linamshikilia Jafari Magesa Miaka 31 Mkazi wa Milambo kwa tuhuma za kuunda njama za kumuua mtalaka wake na kitu chenye ncha kali aitwaye Gaudensia Shukuru miaka...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
1. Namba za Magari Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Namba za magari yanayitumika kumbeba Rais au Makamu wa Rais na Waziri Mkuu haziandikwi namba wale herufi katika kibao chake, bali huwa na...
70 Reactions
226 Replies
67K Views
Swali hili linauizwa sana!! Na ndugu wengi wa mahali hapa, kwa sisi wakristo ni swali jepesi ? Sana na wala hatuthibitishi kiroho tunaweza kuthibitisha kwa kisayansi na kihistoria. Sisi kwetu...
4 Reactions
10 Replies
627 Views
Habari za jioni wakuu, natumai mko salamaa niskuchoshe tusichoshane kama kichwa cha habari kinavosema je kwako upi ni uzi bora wa mwaka 2024 unahisi unastahilii kutunukiwa tittle hiyo, mimi...
4 Reactions
7 Replies
699 Views
Wakuu ikumbukwe juzi nimeleta uzi hapa juu ya ndugu kuniona sina akili kupuuzia ajira za serikalini,kwa kua hazina uhakika,. Na pia pale job ukiomba tayarii umeandaa uadui na boss. Juzi kuna...
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba maelekezo kidogo. Mwenzenu nikitaka kufika Brazil naendaje? Kule nina mwenyeji tayari anaishi Sao Paolo.Je ni lazima kupanda ndege au hata kwa meli nitafika??safari hii tupo watu...
5 Reactions
127 Replies
17K Views
Wakuu kumekuchaje? Mimi ni mfuatiliaji wa kipindi cha BAMBA LIVE, kinachoendeshwa na BobCat. Kawaida ya kipindi hiki jamaa hupita mtaani na kuwauliza maswali baadhi ya watu. Maswali yenyewe...
7 Reactions
19 Replies
719 Views
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao...
2 Reactions
0 Replies
608 Views
Majina Mbalimbali ya Mungu Kwa nini majina tofauti Mungu ni mmoja tu, lakini katika umoja wake amekuwa akijifunua katika majina mengi, kulingana na uweza wake alio nao, au majira fulani...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) kupitia mradi wa Uboreshaji wa huduma imefanikiwa kuwasogezea maji safi na salama wananchi wa mtaa wa Mungu Maji uliopo Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Kila ninapokumbuka mahojiano(interview) yangu ya kwanza,nacheka sana. Ilikuwa kama filamu ya vichekesho, iliyojaa matukio ambayo sikutegemea kukutana nayo. Siku hiyo, rafiki yangu aliniambia...
3 Reactions
10 Replies
495 Views
Napeleka wazo kwa mama kuwa Inatakiwa anayepokea simu naye anatakiwa awe na salio ili kuweza kupokea. Tutaboresha uchumi. 😅
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi. Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata...
33 Reactions
409 Replies
33K Views
Wadau hamjamboni nyote Wanayoyafanya yalishatabiriwa siku nyingi, Biblia takatifu haisemi uongo hata siku moja Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Tumsifu Yesu Kristo
1 Reactions
1 Replies
193 Views
Back
Top Bottom