Mzee Mussa Rashid, mkazi wa Tabora, ametapeliwa na kuporwa saa yenye thamani ya shilingi milioni moja baada ya kudanganywa na mganga wa kienyeji mjini Sumbawanga kuwa atapata utajiri wa haraka...
Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla.
Wale vijana pale ni wasumbufu kupita...
Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wakazi wa Kibaha Kongowe kuhusu uchafuzi wa mazingira unaotokana na maji machafu yanayotiririka kutoka katika kiwanda cha Ufresh...
Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka..
Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi...
Nauliza, kwanini vitambulisho vya taifa ( NIDA) vinafutika maandishi? Na mamlaka ya vitambulisho hivyo inachukua hatuagani kuhalikisha kwamba vitambulisho hivyo vinadumu?
Vitambulisho vya kura...
Wakati maadhimisho ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kifo cha JP Magufuli yakikaribia, ni vyema tukaangazia miradi yake aliyotekeleza na inayoendelea kutekelezwa / kukwamishwa kwa sasa.
Ana shida na milioni mbili akafanye biashara ana uzoefu nazo lakini kuipata hio pesa ni mtihani ana shamba heka kumi amekosa wateja ili apate mtaji.
Wazo lake akachukue pikipiki ya mkopo marejesho...
1. Watu wengi huwa wanachukulia poa kujitoa kwetu kwao, huwa hawajui kuwa tunajinyima ili kuwafanya wao wafurahie maisha.
Huwa wanafikiri tunawapa kwa sababu tuna vingi, kumbe tunajinyima ili...
Hawa viongozi wenu wa dini za kikristo/kiislam wa kiafrica ni kwanini jambo la kipumbavu likisemwa kwa kizungu/kiarabu ikiwemo majina ya watu ie: john,mary,mustafa,khalid,mohamed;shule ,misikiti...
Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga.
Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu...
Persistent corruption must be understood as a severe national security threat and a critical failure of intelligence systems. When corruption thrives unchecked, it signals fundamental flaws within...
Watoto wa zamani ulikuwa ukifanya makosa yafuatayo ulikuwa unalamba bakora za kutosha
1. Usiposalimia wakubwa asubuhi, unapigwa.
2. Usiposalimia wageni, unapigwa.
3. Ukinawa kabla ya wageni...
Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina.
yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama...
Wapotoshaji wanaweza kuhariri video halisi kwa kukata vipande vidogo vidogo na kuviunganisha kwa ajili ya kuharibu maana na hivyo kuleta maana tofauti yenye lengo la upotoshaji.
Thibitisha mara...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Siyo story ya kutunga ni habari ya kweli na Hadi muda huu tupo naye hapa kota mpya magomeni na ametokea nyumbani Rorya
Naombeni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti.
Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu...
Kuna ndugu yangu (sio wa damu) kafikia kwangu siku ya jumatano, alifika na mtoto wake ana miaka miwili
Nilikuja kuambiwa na wife nikahakikisha kwa watoto, ndugu huyu anampa kazi house girl kama...
Habari wana Jamiiforums
Naomba nitoe wazo la kujenga nchi yetu kupitia vijana bora na kakamavu wa taifa letu kwa maendeleo thabiti.
Katika zama za hivi kqribuni ni ukweli usiopingika ajira za...
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kiasi cha Shilingi Bilioni 25 zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.