Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa viongozi wenu wa dini za kikristo/kiislam wa kiafrica ni kwanini jambo la kipumbavu likisemwa kwa kizungu/kiarabu ikiwemo majina ya watu ie: john,mary,mustafa,khalid,mohamed;shule ,misikiti...
4 Reactions
70 Replies
2K Views
Tokea kipindi cha mkapa mpaka leo tumekuwa kuwa ni watulivu na wastaimivu ambayo upande wapili ni kwamba hawa watu ni wajinga na waoga. Leo nimekumbuka kipindi cha uchaguzi visiwani znz Marehemu...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Persistent corruption must be understood as a severe national security threat and a critical failure of intelligence systems. When corruption thrives unchecked, it signals fundamental flaws within...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
Watoto wa zamani ulikuwa ukifanya makosa yafuatayo ulikuwa unalamba bakora za kutosha 1. Usiposalimia wakubwa asubuhi, unapigwa. 2. Usiposalimia wageni, unapigwa. 3. Ukinawa kabla ya wageni...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Ukiingia mitandaoni utakuta kama fasheni hivi kila mtu anauza nguo za mchina. yaani Graduate wa injinia baada ya kuja na ubunifu wa ujenzi unakuta anauza matofali,ana kibanda cha bia na nyama...
2 Reactions
14 Replies
681 Views
Wapotoshaji wanaweza kuhariri video halisi kwa kukata vipande vidogo vidogo na kuviunganisha kwa ajili ya kuharibu maana na hivyo kuleta maana tofauti yenye lengo la upotoshaji. Thibitisha mara...
1 Reactions
1 Replies
313 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Siyo story ya kutunga ni habari ya kweli na Hadi muda huu tupo naye hapa kota mpya magomeni na ametokea nyumbani Rorya Naombeni...
1 Reactions
9 Replies
411 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni imemuhukumu Baraka Benedicto (23) kifungo cha Miaka 30 jela ikiwa ni baada ya kumtia hatiani kwa kosa la ulawiti. Akisoma hukumu hiyo leo Machi 14, 2025, Hakimu...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu (sio wa damu) kafikia kwangu siku ya jumatano, alifika na mtoto wake ana miaka miwili Nilikuja kuambiwa na wife nikahakikisha kwa watoto, ndugu huyu anampa kazi house girl kama...
15 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wana Jamiiforums Naomba nitoe wazo la kujenga nchi yetu kupitia vijana bora na kakamavu wa taifa letu kwa maendeleo thabiti. Katika zama za hivi kqribuni ni ukweli usiopingika ajira za...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
KATIBU Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Mhandisi Cyprian Luhemeja amesema kiasi cha Shilingi Bilioni 25 zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Urejeshwaji Endelevu wa Mazingira na Hifadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
232 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeishauri Serikali kutafuta fedha za kuwalipa fidia wananchi waliopitiwa na Miradi ya kufua Umeme ya Ruhudji na Rumakali, ili wananchi hao wapishe...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Tangazo ni hili -- TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOA KWENYE MZUNGUKO NOTI ZA ZAMANI ZA SHILINGI YA TANZANΝΙΑ Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuufahamisha Umma kuhusu zoezi la kuondoa kwenye mzunguko...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums hope wote mpo poa ndugu yenu nina mabalaa apa ni mwez wa tatu huu cjalala kwa raha nimevamiwa na kungun hata cjui nifanyaje. Balaa lilianza kama miezi mitatu iliopita...
11 Reactions
144 Replies
66K Views
Nakumbuka J.P.Magufuli alipiga marufuku haya maduka naona yanazidi kuongezeka anyway sio mbaya. Mbaya ni malalamiko yanayoendelea hosptitali Dk anaandika dawa anakwambia nenda pharmacy. Unaenda...
0 Reactions
14 Replies
728 Views
Kuna vita ya kikoo kwa sasa inaendelea Tarime kimya kimya, baina ya koo ya Wanchari na Wakira. Kinachogombaniwa hapa ni mashamba mipakani mwa vijiji vyao. mgogoro huu unasababishwa na tajiri...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za mda huu wanajamvi, Kuna tetesi za kinywaji cha mzee wetu Bakhresa Azam energy kimefungiwa kwa kukutwa na viatarishi vya afya ya binadam. Sasa kama ni kweli baada ya miaka yote hii...
15 Reactions
85 Replies
6K Views
Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo wa madhehebu yote yanayofunga kipindi hiki Cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu. Sijasikia mkristo yeyote akijisifu utakatifu Kwa kufunga...
88 Reactions
255 Replies
10K Views
Huu Ni Uume wa nyangumi aina ya blue whale, na ndio unaaminika kua Ni uume mrefu kuliko Uume wa kiumbe chochote kilicho hai duniani. Unafikia urefu wa inchi 94.45, sawa kabisa na urefu wa futi 8...
7 Reactions
55 Replies
3K Views
Habari wakuu, mimi ni mtanzania mwenye miaka 29. Leo nimeenda kufanya interview ya forest officer II chini ya TFS kituo kikiwa chuo cha TIA. Jambo la kushangaza watu wa utumishi wamenizuia...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom