Epuka utapeli wa mtandaoni unaoenea kwa kasi

Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,770
10,660
Nimeona nianzishe thread maalum kwa ajili ya kufafanua program ambazo kila uchao zinatangazwa humu jukwaani kama njia rahisi ya kujipatia fedha mtandaoni ilhali ni Ponzi. Mfano wa program hii ni BTCClock.io kama alivyopost Shafi_Abeid kwenye hii thread Wekeza kwenye biashara ya Bitcoin upate faida kila dakika. Ni vema watu wakaelewa ni nini hasa dhumuni la program hizi kabla hawajaliwa pesa zao.

HYIP (High Yield Investment Program ) ni aina ya Ponzi scheme (kama ile ya DECI) isipokuwa tu hizi hufanya kazi mtandaoni. Program za aina hii hutoa ahadi ya malipo makubwa ndani ya muda mfupi. Kwa mfano BTC Axis LTD inajigamba kutoa faida kama ifuatavyo:

10.5% - 20% Hourly For 10 Hours

103% - 200% After 1 Day

120% - 800% After 5 Days

900% - 1200% After 15 Days

Vip Plans : 1500% After 5 Days , 2000% After 7 Days , 7000% After 10 Days

Hivyo, ni rahisi kwa asiyeelewa kuingia kichwa kichwa kwa tama ya faida ya chap chap. Lakini kimsingi ni bahati nasibu tu.

Ziko program nyingi sana zinazoendesha Ponzi za aina hii. Hukusanya fedha kutoka kwa watu mbalimbali kisha wakipata mpunga wa kutosha hupotea hewani na kuacha kilio. Leo nimechoka sana hivyo siwezi kuanika kwa kina. Nitaendelea kesho wadau.

Part II

Wakuu, niliahidi hii leo kuleta kwa kina maelezo kuhusu aina hii ya utapeli ingawa inaonekana ni mpya kwa wengi.

Cryptocurrency (Bitcoin) mining

Hii ni biashara halali kabisa mtandaoni. Unawekeza pesa zako kwa kampuni zinazofanya bitcoin mining halafu wewe unasubiri gawio. Gawio hili hupatikana baada ya kukokotoa ggharama za uendeshaji ambazo kimsingi ni kubwa mno. Kwa kiasi kikubwa ni ngumu kupata faida kwenye haya makampuni. Kwa mfano kampuni zinazoheshimika kwa kulipa wateja wake kwa muda sasa ni Hashflare na Genesis Mining ambazo hata hivyo itakuchukua zaidi ya mwaka kurudisha tu mtaji wako kabla ya kuanza kupata faida ambayo ni ndogo kweli kweli. Mara nyingi ROI huwa ni negative. Hizi hapa baadhi ya cloudmining co pamoja na siku utakazochukua kurejesha mtaji wako.Sehemu ya comment utakuta mawazo ya waliowekeza wengi wakilalamika kupata hasara

upload_2017-7-1_9-29-13.png

Hyip

High Yield Investment Programs ni kama nilivyoeleza hapo juu. Hizi website zinazoendeshwa na wajanja ili kujipatia kipato. Wamiliki hujitahidi kuzipamba na kuzifanya zionekane legit (halali) kwa kutoa habari za uongo. Mara nyingi watasema wanatumia wataalamu wa hali ya juu kufanya biashara zenye faida kubwa. Mfano uchimbaji madini, betting, uchimbaji mafuta n.k.

Kufuatia kuibuka kwa cryptocurrencies mfano bitcoin, matapeli hawa wamegeukia biashara hiyo na sasa wanajificha nyuma yake. Kampuni nyingi zinadanganya kufanya cryptocurrency mining lakini kiukweli hazifanyi hivyo. Wanategemea watu wavutike wawekeze pesa nyingi halafu wanapotea na pesa hizo.

Yako makampuni mengi mno yanayofanya hivi, lakini yote yana sifa moja kubwa, yanaibuka na kupotea ndani ya mwaka mmoja tu (kwa yale yanayodumu sana). Katika kipindi hiki yataonesha kuwa ni halali kwa kulipa gawio kama kawaida. Hii inafanyika ili kuwashawishi watu kwani wengi huanza kuwekeza mitaji midogo kwanza kupima uaminifu. Chanzo pekee cha mapato ni kuingiza watu (members) wapya wawekeze.

Makampuni haya hayako regulated (hayasimamiwi na taasisi yoyote ya kifedha inayojulikana). Hivyo hupotea kimya kimya. Hutumia usajili fake (nitatolea mfano hiyo kampuni pendwa ya btcclock.io). Kuna websites ziitwazo HYIP MONITORS ndio hutoa mwongozo kama ni kampuni ipi inalipa ama hailipi. ONYO: sites hizi (hyip monitors) zina ushirikiano mkubwa sana na matapeli hawa. Hupewa gawio ili zitoe rating nzuri kuwaaminisha watu wawekeze. Sasa angalia hapa chini hii hyip monitor mojawapo ikipigia debe hizo sites:
upload_2017-7-1_9-29-55.png

Kisha tazama hizi ambazo zimeacha kulipa na kupotea na pesa za “wawekezaji”

upload_2017-7-1_9-31-25.png

Btcclock.io

Mimi sio kwamba nina chuki na hawa wanaotangaza hii program, lengo lamgu ni kionesha kuwa hii biashara ni high risk. Kwanza ifahamike kuwa katika hatua za awali kampuni hizi hulipa fedha mpaka pale watakapoona wamepata kiasi watakacho hupotea.

Nasikitika kusema kuwa btcclock.io ni hyip. Iko kwenye hyp monitors list kama inavyoonesha hapa

Kwa sasa bado inalipa, lakini ni kwa muda gani, hakuna ajuaye.

USAJILI:

imesajiliwa chini ya kampuni iitwayo 'LUCKY TIMES LIMITED'

Mmiliki wake anajiita David STRIVAY

Anuani yake ni “virtual address.” Maana yake hii hapa:

A virtual office is a business location that exists only in cyberspace. A virtual office setup allows business owners and employees to work from any location by using technology such as laptop computers, cell phones and internet access.

Certificate yao ni fake na wameiweka kiasi ambacho huwezi kuisoma kiurahisi

Director ni yeye mwenyewe, kampuni haina mtaji wala uwekezaji wowote.

upload_2017-7-1_9-51-4.pngItaendelea……………
 
Ungepumzika kwanza, ndio ulete thread. Unadhamira nzuri tatizo ulivyowasilisha mkuu.
 
Nimeona nianzishe thread maalum kwa ajili ya kufafanua program ambazo kila uchao zinatangazwa humu jukwaani kama njia rahisi ya kujipatia fedha mtandaoni ilhali ni Ponzi. Mfano wa program hii ni BTCClock.io kama alivyopost Shafi_Abeid kwenye hii thread Wekeza kwenye biashara ya Bitcoin upate faida kila dakika. Ni vema watu wakaelewa ni nini hasa dhumuni la program hizi kabla hawajaliwa pesa zao.

HYIP (High Yield Investment Program ) ni aina ya Ponzi scheme (kama ile ya DECI) isipokuwa tu hizi hufanya kazi mtandaoni. Program za aina hii hutoa ahadi ya malipo makubwa ndani ya muda mfupi. Kwa mfano BTC Axis LTD inajigamba kutoa faida kama ifuatavyo:

10.5% - 20% Hourly For 10 Hours

103% - 200% After 1 Day

120% - 800% After 5 Days

900% - 1200% After 15 Days

Vip Plans : 1500% After 5 Days , 2000% After 7 Days , 7000% After 10 Days

Hivyo, ni rahisi kwa asiyeelewa kuingia kichwa kichwa kwa tama ya faida ya chap chap. Lakini kimsingi ni bahati nasibu tu.

Ziko program nyingi sana zinazoendesha Ponzi za aina hii. Hukusanya fedha kutoka kwa watu mbalimbali kisha wakipata mpunga wa kutosha hupotea hewani na kuacha kilio. Leo nimechoka sana hivyo siwezi kuanika kwa kina. Nitaendelea kesho wadau.

Nimeshatolea maelezo kuhusu kwa nini biashara hii sio ponzi lakini kwenye uzi wangu hapa nitarudia tena kutolea maelezo ya kina kukujibu.

Kwanza ponzi scheme kama vile DECI hazina biashara yoyote zinazozifanya kuzalisha. Zinatumia hela zilizolipwa na watu waliojiunga mwanzoni kulipia watu waliojiunga baadaye.

BtcClock ni tovuti inayoendeshwa na kampuni ya Lucky Times Ltd iliyosajiliwa Kemp House, 160 City Road, London, London, United Kingdom, EC1V 2NX mnamo 15th March, 2017.

Kampuni inatumia Bitcoin Technology kufanya biashara ya Bitcoin Mining kama ilivyoelezea kwenye mission statement yake. Shughuli zake zilizoorodheshwa kwenye Registration yake ni Computer facilites management activities, data processing, hosting and related services na web portals.

Kwa hiyo utaona kwamba kampuni ina shughuli halali inazozifanya ikiwa ni pamoja na shughuli kuu ya kutumia Bitcoin Technology ili ku mine Bitcoins na cryptocurrenices zingine, shughuli ambayo inaiingizia pesa ambazo wanatumia pesa hizo kulipia gharama za uendeshaji biashara kama vile machine za ku mine cryptocurrencies, wafanyakazi, kuendesha tovuti (server costs, etc.), kulipia profit wanazotoa kwa wawekezaji wao ambapo wanalipa 3.84% kwa siku, kulipia matangazo ya biashara yao (kupitia 15% commission wanazotoa kwa affiliates wao) na kubakia na faida ya kampuni.

Mtaji wa kuendeshea biashara yao wanaupata kupitia hela zinazowekezwa na wanachama wao pamoja na hela zao wenyewe walizowekeza.

Hivyo huwezi kuiita kampuni hii kuwa ni Ponzi scheme kwa sababu haitumii hela za waliolipa mwishoni kuwalipa waliojiunga mwanzoni bali wanatumia hela za wawekezaji (investors) pamoja na hela zao kufanyia shughuli yao ya ku mine cryptocurrencies kisha wanarudisha hela za wawekezaji pamoja na faida yao pamoja na kulipia gharama za uendeshaji na kubakia na faida kutoka kwenye hela walizotengeneza kupitia shughuli ya ku mine Bitcoins pamoja na shughuli zingine.

Tukija kwenye suala la HYIP ulilolitolea mfano hapo juu, kwanza huo mfano hauendani kabisa na biashara hii kwa sababu biashara hii hailipi faida kiasi hicho kama ulivyoelezea hivyo si sahihi kuilinganisha biashara hii na mfano wako.

Pili linakuja suala la kujiuliza je faida ya 3.84% wanayotoa kwenye watu wanaowekeza biashara hii ni nyingi? Ukiangalia biashara tunazozifanya na tulizozizoea, jibu ni kwamba kweli faida ni nyingi mno wanayotoa kwa siku. Lakini ukiangalia kwa jicho la biashara inayofanyika ya ku mine cryptocurrencies, hiyo faida ni ya kawaida kwa sababu bado watu wengi duniani kote hawajaanza kuwekeza au kutumia hizi cryptocurrencies hivyo fursa (opportunity profile) bado zipo nyingi za kutengeneza faida kubwa unapofanya biashara ya mining. Kadri watu watakavyozidi kuongezeka kuzitumia na kuwekeza kwenye hizi cryptocurrencies basi ndivyo thamani ya hizi cryptocurrencies itakapoongezeka na wakati huo huo shuhguli ya ku mine itakavyozidi kuwa ngumu na hivyo kupunguza faida wanayopata wafanyabiashara wanao mine cryptocurrencies.

Kwa hiyo kwa mtazamo wa kibiashara ni kwamba kampuni hii inatengeneza faida kubwa sasa hivi kwa sababu biashara inalipa hivyo watu wanaoichangamkia sasa hivi wakati bado inalipa ndio watakaovuna vya kutosha na kutumia mavuno yao kuwekeza kwenye miradi mingine ili faida itakaposhuka basi watafidia kushuka kwa faida ya biashara hii kwa kupata faida kutoka kwenye biashara zingine.

Hivyo watu ninawashauri kuhusu kufanya biashara hii siishii kuwaacha tu mara baada ya wao kuwekeza bali nasubiri wakishaanza kupata matunda ya biashara hii basi nawapa mkakati wa kutoa sehemu ya faida wanayopata kwenye mradi huu ili kuwekeza kwenye maeneo mengine.

Mtazamo mwingine ni kwamba kweli hii ni kampuni ya kitapeli na itapotea mda si mrefu. Sikatai kwamba kampuni hii inaweza kuwa ya kitapeli. Lakini ninachosema ni kwamba hata kama ikiwa ni ya kitapeli, nilishafanya home work yangu kuichunguza kabla sijajiunga kama nilivyoelezea hapo awali nikaona kampuni haina jina baya lolote kutoka kwenye reviews zilizopo kwenye public domain baada ya ku search kwa kutumia Google. Hakuna hata reviewer mmoja aliyetoa ushahidi kwamba kampuni hii ni ya kitapeli. Wote wameelezea kwamba hakuna kitu walichokiona chenye kuashiria kwamba kampuni hii ni ya kitapeli ingawa baadhi yao wametoa wamesema kwamba ina dalili ya kuwa kampuni ya kitapeli.

Sasa kwa wale waliosema kwamba kuna dalili ya kampuni hii kuwa ni ya kitapeli huo ni mtazamo wao. Tathmini yangu mimi kama nilivyoelezea kuhusu biashara za aina hii ilinifanya nithubutu kuwekeza nao kwa kuanza na kiwango kidogo ambacho hata kama kingepotea nisingejali kwani ni hela ambayo naipotezaga kila siku kwa manunuzi ya vitu visivyo na msingi na nilipopata faida ambayo ilikuwa mara mbili ya ile niliyowekeza nikatoa faida yangu bila matatizo hivyo nikaongeza kiasi kingine cha kuwekeza. Mpaka sasa nimeshatoa faida mara tatu bila tatizo lolote na vilevile ninapata commission ya 0.5% kwa kila siku kwa siku 30 kila wakati watu niliyewaalika wanapowekeza kwenye mradi huu.

Na kwa sababu faida unayopata inarudisha hela ya mtaji uliolipia kuwekeza kwenye biashara hii ndani ya mwezi mmoja tu hivyo kwangu mimi hela niliyowekeza imesharudi na bado ninaendelea kupata faida ya kila siku mpaka pale nitakapoamua kutoa mtaji wangu na kufanyia mambo mengine.

Kwa sababu nina uhakika sasa kwamba biashara hii inalipa na inakulipa ndani ya mwezi mmoja tu, ndio maana naitangaza kwa wengine. Nisingeweza kutangaza biashara ambayo inawataka watu watoe hela mbele bila kuwa na uhakika nayo kwanza.

Mwisho ningependa kuchukua fursa hii kukushauri Nyenyere kwamba unapokuja na hoja ya kudai kwamba kampuni fulani ni ya Ponzi scheme basi jikite kujenga hoja kitaalam kwa nini unadhani kampuni hiyo ni ya ki Ponzi. Unapotumia mfano wa kampuni nyingine na kuacha kutumia mifano ya kampuni unayoishambulia kwamba ni Ponzi scheme huo ni utoto.
 
Nimeona nianzishe thread maalum kwa ajili ya kufafanua program ambazo kila uchao zinatangazwa humu jukwaani kama njia rahisi ya kujipatia fedha mtandaoni ilhali ni Ponzi. Mfano wa program hii ni BTCClock.io kama alivyopost Shafi_Abeid kwenye hii thread Wekeza kwenye biashara ya Bitcoin upate faida kila dakika. Ni vema watu wakaelewa ni nini hasa dhumuni la program hizi kabla hawajaliwa pesa zao.

HYIP (High Yield Investment Program ) ni aina ya Ponzi scheme (kama ile ya DECI) isipokuwa tu hizi hufanya kazi mtandaoni. Program za aina hii hutoa ahadi ya malipo makubwa ndani ya muda mfupi. Kwa mfano BTC Axis LTD inajigamba kutoa faida kama ifuatavyo:

10.5% - 20% Hourly For 10 Hours

103% - 200% After 1 Day

120% - 800% After 5 Days

900% - 1200% After 15 Days

Vip Plans : 1500% After 5 Days , 2000% After 7 Days , 7000% After 10 Days

Hivyo, ni rahisi kwa asiyeelewa kuingia kichwa kichwa kwa tama ya faida ya chap chap. Lakini kimsingi ni bahati nasibu tu.

Ziko program nyingi sana zinazoendesha Ponzi za aina hii. Hukusanya fedha kutoka kwa watu mbalimbali kisha wakipata mpunga wa kutosha hupotea hewani na kuacha kilio. Leo nimechoka sana hivyo siwezi kuanika kwa kina. Nitaendelea kesho wadau.
Siyo kila kitu mtandaoni ni utapeli, kuna mengi sana ya ukweli na mengi sana ya uongo.
Na ukitaka kujua kuwa ni uongo ni pale unapoambiwa eti ufanye investment ya wiki moja na kisha utavuna pesa nyingi Sana.
Hakuna investment ya wiki au mwezi mmoja tu na ukapata pesa nyingi.
Tatizo hata wewe unaonekana kabisa kuwa hujui ulichoandika, umekimbilia tu kusema utapeli bila kusema Kama na ukweli huwa upo pia .
sidhani Kama Unajua lolote kuhusu cryptocurrency business au digital coins.
Kwanza lazima ujue kuwa, siye watanzania bado tunaishi karne ya 18 wakati wenzetu wapo karne ya 21.
Ngoja nikusubirie ulete mada Kwa kina ili na Mimi nikukosoe Kwa kina tena na ushahidi ,sidhani Kama utaweza kuleta ushahidi wa kutosha japokuwa ni kweli ponzi Zipo ila umechemka kuegemea upande mmoja tu.
 
Sijawahi na sitakuja kujiunga na hayo matakataka
Ni lazima uite matakataka Kwa Sababu, umezaliwa Tanzania, umekulia Tanzania, umesoma Shule zilizopitwa na wakati Tanzania.
Dunia ipo karne ya 21 ,wewe unaishi maisha ya karne ya 18.
Dunia ina mambo mengi sana usiyoyajua lakini wewe umekariri kilimo na ufugaji, sasa mambo ya cryptocurrency utayajulia wapi wewe?
Na ni bora ukae hivyo hivyo maana mkijanjanjaruka wote tutatoa wapi wafanyakazi siye mabilionea tujao?
 
Kila la heri Bilionea
 
Siyo kila kitu mtandaoni ni utapeli, kuna mengi sana ya ukweli na mengi sana ya uongo.
Na ukitaka kujua kuwa ni uongo ni pale unapoambiwa eti ufanye investment ya wiki moja na kisha utavuna pesa nyingi Sana.
Hakuna investment ya wiki au mwezi mmoja tu na ukapata pesa nyingi.
Tatizo hata wewe unaonekana kabisa kuwa hujui ulichoandika, umekimbilia tu kusema utapeli bila kusema Kama na ukweli huwa upo pia .
sidhani Kama Unajua lolote kuhusu cryptocurrency business au digital coins.
Kwanza lazima ujue kuwa, siye watanzania bado tunaishi karne ya 18 wakati wenzetu wapo karne ya 21.
Ngoja nikusubirie ulete mada Kwa kina ili na Mimi nikukosoe Kwa kina tena na ushahidi ,sidhani Kama utaweza kuleta ushahidi wa kutosha japokuwa ni kweli ponzi Zipo ila umechemka kuegemea upande mmoja tu.
Unazungumza na expert kwenye cryptocurrencies. Nitakujibu wewe na wenzako kwa andiko moja tu with clear facts
 
Nimeona nianzishe thread maalum kwa ajili ya kufafanua program ambazo kila uchao zinatangazwa humu jukwaani kama njia rahisi ya kujipatia fedha mtandaoni ilhali ni Ponzi. Mfano wa program hii ni BTCClock.io kama alivyopost Shafi_Abeid kwenye hii thread Wekeza kwenye biashara ya Bitcoin upate faida kila dakika. Ni vema watu wakaelewa ni nini hasa dhumuni la program hizi kabla hawajaliwa pesa zao.

HYIP (High Yield Investment Program ) ni aina ya Ponzi scheme (kama ile ya DECI) isipokuwa tu hizi hufanya kazi mtandaoni. Program za aina hii hutoa ahadi ya malipo makubwa ndani ya muda mfupi. Kwa mfano BTC Axis LTD inajigamba kutoa faida kama ifuatavyo:

10.5% - 20% Hourly For 10 Hours

103% - 200% After 1 Day

120% - 800% After 5 Days

900% - 1200% After 15 Days

Vip Plans : 1500% After 5 Days , 2000% After 7 Days , 7000% After 10 Days

Hivyo, ni rahisi kwa asiyeelewa kuingia kichwa kichwa kwa tama ya faida ya chap chap. Lakini kimsingi ni bahati nasibu tu.

Ziko program nyingi sana zinazoendesha Ponzi za aina hii. Hukusanya fedha kutoka kwa watu mbalimbali kisha wakipata mpunga wa kutosha hupotea hewani na kuacha kilio. Leo nimechoka sana hivyo siwezi kuanika kwa kina. Nitaendelea kesho wadau.
Sasa we nawe punguani ... Unaonya Bila kutoa namna inavyotapeli ..
Kenge ww.

Bitcoin is a Valid trade.

Kama ushapigwa D9 club huko , dont bring ur stress here.
 
Sasa we nawe punguani ... Unaonya Bila kutoa namna inavyotapeli ..
Kenge ww.

Bitcoin is a Valid trade.

Kama ushapigwa D9 club huko , dont bring ur stress here.
Mkuu, sina maana mbaya na upumbavu wangu. Kama ungalisoma mpaka mwisho nilisema nitaeleza zaidi kesho. Bitcoin ni valid currency sio trade. Mimi nina wallet ya bitcoin tangu 2012. Bitcoin ni aina ya pesa, SIO aina ya biashara. Do your due diligence kuliko kukurupuka na kurusha matusi.
 
Back
Top Bottom