Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako...
11 Reactions
120 Replies
4K Views
Nimekumbuka niliingia bar kubwa kinywaji nilichouziwa bei ilikuwa zaidi ya thamani ya ukweli ila nilipotaka kulipia kwa vile mimi na VAT na TIN kama mfanya biashara ilikuwa ni kukwepana tu.
0 Reactions
0 Replies
247 Views
Naomba mnisaidie ni wapi naweza kupata Microphone hizo Blue Yeti au SnawBall ice kwa DSM. Mimi binafsi nimezunguka Kariakoo na baadhi ya maduka sehemu nyengine kama Makumbusho lakini sikufanikiwa...
2 Reactions
6 Replies
492 Views
WANAUME; JINSI YA KUMFANYA BINTI YAKO ASIWE MALAYA. Anaandika, Robert Heriel Wanawake wengi siku hizi 80% ni Malaya, umalaya ni kitendo cha mwanamke kufanya tendo la ndoa na Mwanaume zaidi ya...
19 Reactions
43 Replies
6K Views
1. Vyakula vya Kuimarisha Mwili Matunda na mboga mboga: Spinachi, broccoli, karoti, parachichi, na berries (blueberries, strawberries). Protini za afya: Maharagwe, choroko, samaki wenye mafuta...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau wa Kiswahili wanaweza kunielewa kwa nini nauliza hivi. Mrisho mpoto na Mboso katika kazi ya sanaa wanakuza na kuendeleza Kiswahili kwa kasi yenye ubunifu wa hali ya juu. Watu kama hawa...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Moja ya mambo magumu zaidi maishani ni kuelewa kwa nini tunafanya mambo tunayofanya. Kwa nini tunachagua njia fulani badala ya nyingine? Kwa nini tunavutwa na vitu ambavyo baadaye vinatuletea...
5 Reactions
15 Replies
771 Views
Masiku kadhaa ulipita mjadala juu ya mchakato wa ajira ndani ya JWTZ,mchakato ambao umeonekana kugubikwa sana na walakini kutokana na ulivyoendesha. Tangazo la ajira lilitolewa,ila baada ya watu...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5...
1 Reactions
0 Replies
126 Views
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala. Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na...
19 Reactions
273 Replies
21K Views
Wakubwa wenye vitabu vya Biashara na maisha tukutane hapa ili kupata ujuzi wa kuendesha biashara kama unakitabu chako Upload watu wakipate Naomba kusilisha.
1 Reactions
3 Replies
526 Views
Anonymous
Naomba kutoa kero yangu, mimi ni mkazi wa Buguruni mtaa wa Bint Madenge, mtaani kwetu zimewekwa takataka kwa zaidi ya mwezi mmoja na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa anashuhudia uchafu huo maana ni...
0 Reactions
0 Replies
195 Views
ZIJUE KANUNI ZA USAFIRISHAJI KWA NJIA YA BAJAJI NA PIKIPIKI, 2010, KAMA ZILIVYOREKEBISHWA MWAKA 2017 Utangulizi Kama tunavyofahamu, usafirishaji kw anjia ya pikipiki na bajaji unaongozwa na...
1 Reactions
8 Replies
10K Views
Umeshawahi kujiuliza kwenye Sayari ya Mars Anga ya Usiku inaonekanaje? Nasa imefanikiwa kutoa picha za kustaajabisha kutoka umbali wa maili milioni 250, zikiweza kuonyesha Anga haijaguswa na...
0 Reactions
4 Replies
704 Views
https://www.youtube.com/watch?v=TLSD0tQq_Es Moto ambao bado chanzo chake hakijafahamika umeunguza vibanda vya wafanyabiashara zaidi ya 30 katika soko la mbao Sabasaba Wilaya ya Ilemela mkoani...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Ndio ile unasikia mtu anafanya internship miaka 6 and out of no where anaambiwa na HR "kwa sasa hivi kampuni inapitia msoto wa kifedha kwa hio hatutaweza ku-afford kukuajiri, kwa hio kila la kheri...
2 Reactions
5 Replies
280 Views
Tupo kwenye mazishi ya bilionea Sambeke watu ni wengi na bdo wanazidi kuingia wafanyabiashara wote wa mji wako hapa ni kama shughuli zimesimama umati ni mkubwa.
4 Reactions
237 Replies
48K Views
Habari za mida wana jf Kipindi nakuwa moshi town pale wenyewe wanapaita mji wa wagumu, kulikuwa na matajiri wanajulikana na kusifika sana. Walikuwa maarufu sana hadi makanisani.Ukienda kanisani...
105 Reactions
2K Replies
233K Views
Habari wanajukwaa Wanafunzi wa mwaka wa pili fani ya clinical dentist chuo tajwa wamekosa kufanya mtihani inayotaraji kuanza Jumatano! Sababu ziko katika utawala wa chuo na hazieleweki...
1 Reactions
9 Replies
486 Views
Kweli inawezekana hivi vifo ni vya kawaida? Tunaopenda kutafakari kidogo tunaona kuwa si rahisi kuamini hivi hivi tu. Sijamfahamu huyo Nyiti kwa uzuri ila nadhani ni milionea fulani. Mawalla na...
4 Reactions
58 Replies
8K Views
Back
Top Bottom