Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Jamani naombeni kujua na mnishauri Mimi nimesoma Nursery teaching lkn nimepata connection ya kazi ya store keeper kiwanda flani ivi nimeambiwa nikaanze Jumatano Nauliza je huko nitakua natumia...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umeshusha tozo kwa watumiaji wa Daraja la Nyerere Kigamboni, Dar es Salaam, kwa usafiri wa pikipiki na bajaji kutoka Sh. 1,500 na sasa Sh. 500 kwa bajaji...
0 Reactions
5 Replies
668 Views
Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe. Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku...
19 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari wadau wa UTT, Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2...
2 Reactions
0 Replies
534 Views
Habari wakuu! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ulaya ya karne ya 19 kurudi nyuma sio kama Ulaya ya karne hii ya 21 yaani ni kama vile wameridhika na maendeleo yao. Hata katika upande wa...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema...
2 Reactions
49 Replies
2K Views
Vijana wa sasa wamebaki kujadili Simba, Yanga na Magari ya Diamond huku wakuwaponda watumishi akina Mwamposana na walokole. Vijana hawajadili kilimo wala mifugo, wana amini kubeti na kuwa chawa...
8 Reactions
11 Replies
459 Views
JE, WEWE NI CHUMVI AU MATUSI? Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha. Watu wenye athari halisi hawawezi kupigania...
5 Reactions
8 Replies
769 Views
Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !! huko vyuoni...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Nashangaa fulani kusema "Chai" akirejea mada ya uzi fulani. Huwa wana maana gani? Chai? .
5 Reactions
24 Replies
843 Views
Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho...
2 Reactions
2 Replies
396 Views
Wajumbe wa Jukwaa amani iwe nanyi! Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sasa, kwamba marais wengine wa Tanzania wakifariki wataenziwa kama anavyoenziwa Mwalimu Nyerere kwa uwepo ya maadhimisho...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania Wachina wanafungua car wash Wachina wanafungua supermarket Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki Wachina wanafungua maduka ya...
30 Reactions
182 Replies
8K Views
Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama. Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri. Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu. Mimi ni mwanafunzi wa chuo...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
4 Reactions
6 Replies
572 Views
Masikini, vijana hawa ni wafu watarajia kwa sababu ya kuwa wahanga na watumwa wa itikadi za watu binafsi amabao asili yao ushujaa wa kipuuzi. Mtu anasema anaipigania dini, mara anaipigania...
3 Reactions
4 Replies
374 Views
Kati ya miaka 1700 Hadi 1800 watu wengi walikuwa wanatumia picha za kuchora kama sehemu ya kuweka kumbukumbu zao...labda kwa sababu hakukuwa na camera na hata kama zilikuwepo basi ilikuwa adimu...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
📣📣📣📣📣📣📣 Maisha na Mafunzo Muhimu kwa Kila Mtu, Jitathmini. 1. Hakuna atakaye kuja kukuokoa. Simama imara, Kuwa shujaa. 2. Usilazimishe mtu yeyote akuchague. Utajifunza kutumia muda peke yako...
16 Reactions
17 Replies
917 Views
Back
Top Bottom