Leo Machi 17, 2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeanza rasmi zoezi la uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura katika Mkoa wa Dar es Salaam.
Nikiwa Mdau wa...
Sijui dunia ya sasa inaelekea wapi.... Kuna wanaume unaona kabisa wanaandika mwandiko wa kiume ingawa wanapenda wawe treated kama wanawake.
Hawa hata uandishi wao utauona ingawa wanaandika sana...
Mtandao wa X uliokuwa maarufu kwa Serikali na viongozi wake umepoteza heshima baada ya kuitwa X, viongozi wengi wa Serikali duniani wameupuuzia mbali
Zamani ukiitwa Twitter, viongozi wengi wa...
Jamani naombeni kujua na mnishauri Mimi nimesoma Nursery teaching lkn nimepata connection ya kazi ya store keeper kiwanda flani ivi nimeambiwa nikaanze Jumatano
Nauliza je huko nitakua natumia...
Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda...
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umeshusha tozo kwa watumiaji wa Daraja la Nyerere Kigamboni, Dar es Salaam, kwa usafiri wa pikipiki na bajaji kutoka Sh. 1,500 na sasa Sh. 500 kwa bajaji...
Ukweli ni kuwa hakuna mkombozi wa kijana katika huu ukata. Atapigika sana akiendelea kusubiria resume yake ipitishwe.
Itakuwa haina maana miaka hio utakuwa una hudumia baby mamas wawili huku...
Habari wadau wa UTT,
Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ulaya ya karne ya 19 kurudi nyuma sio kama Ulaya ya karne hii ya 21 yaani ni kama vile wameridhika na maendeleo yao.
Hata katika upande wa...
"Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema...
Vijana wa sasa wamebaki kujadili Simba, Yanga na Magari ya Diamond huku wakuwaponda watumishi akina Mwamposana na walokole.
Vijana hawajadili kilimo wala mifugo, wana amini kubeti na kuwa chawa...
JE, WEWE NI CHUMVI AU MATUSI?
Chumvi haihitaji kufanana na viungo vingine, wala haitoi harufu kama viungo vingine, lakini bila hiyo, supu haina ladha.
Watu wenye athari halisi hawawezi kupigania...
Don't Put All your hopes in One Basket, Heri nusu shari kuliko shari kamili
Unakutana na kijana fresh outta chuo / college ana degree yake akiwa na mategemeo makubwa sanaaa !!
huko vyuoni...
Kuna uwezekano mkubwa wa kuishi maisha mazuri na yenye raha hapa duniani. Lakini ajabu kuna watu wanaridhika kuishi maisha duni. Wasiokubali kuishi maisha ya kimaskini wanapambana hadi mwisho...
Wajumbe wa Jukwaa amani iwe nanyi!
Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sasa, kwamba marais wengine wa Tanzania wakifariki wataenziwa kama anavyoenziwa Mwalimu Nyerere kwa uwepo ya maadhimisho...
Hawa ndo waekezaji wa kichina nchini Tanzania
Wachina wanafungua car wash
Wachina wanafungua supermarket
Wachina wanafungua maduka ya kuuza bajaji na pikipiki
Wachina wanafungua maduka ya...
Wakuu habari za wakati huu,natumaini mpo salama.
Mtanisamehe,mimi sio mwandishi nzuri.
Wakuu nina changamoto ambao nimeshindwa kulitatua hivyo nahitaji msaada wenu.
Mimi ni mwanafunzi wa chuo...
wazee na Vijana wa JF
Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere
size mita 20 kwa 20
Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda
Bei elekezi 4,000,000 Tsh
Simu ziite 0744-033-555
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.