Hakuna vijana wanaopitia Magumu kama Hawa wa Dar , Vijana wa Dar wanataka mafanikio ya haraka sana, wanaumizwa wanapoona watu waliwafaham miezi michache nyuma wakiwa hawana kitu, sasa wanawaona...
Kuimba ni kipaji hata ujaribu kuforce vipi as long huna kipaji cha kuimba hata urekodi kwa Timberland na lyrics aandike Beyonce still tu utatoa boko tu.
Get back to the point kuweka akiba ni...
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa Mkoani Dar es Salaam leo , kwamba yule Mkandarasi aliyepewa kazi ya kujenga barabara hiyo ya mwendokasi ya kutoka Kariakoo hadi Mbagala , iliyopaswa kukamilika mwezi...
"Tayari kuna mabasi [Mwendokasi] yameagizwa, inawezekana kati ya mwezi wa pili mpaka mwezi wa tatu yataanza kufika. Kwa njia hii ya Kimara - Mjini, sekta binafsi wataleta mabasi takriban 177...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Dkt. Ashatu Kijaji amegawa pikipiki 700 na vishkwambi 4,500 kwa ajili ya matumizi ya maafisa ugani wa sekta ya mifugo mkoani Morogoro.
Dkt. Kijaji amesema hatua hiyo...
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03 Januari, 2025 amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda...
Kwa kizazi hiki cha kidigitali, kama mwalimu unaendelea kufikiri kwa mtazamo wa kianalogia, ni wazi kwamba wanafunzi wako watakudharau sana. Fikiria, unawafundisha kuwa kuna sayari tisa, lakini...
Hili jambo limesumbua sana wazazi, na shule zingine huwezi kiuamini kama wanafanya mchezo huo kwa sababu ni shule za dini mno,ila watoto wakiwa pale, wanaanziana huo mchezo mchafu.
Hivi hizo...
Mkurugenzi wa Shirikla la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa wakati anazungumza na kutoa maelekezo kabla ya safari ya kutokea Dar - Moro mapema leo, Februari 26, 2024.
Shirika la Reli Tanzania...
Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo...
Kwa heshima na taadhima, nichukue nafasi hii ya kipekee kuushukuru uongozi mzima wa jamii forums, wafanyakazi wake wote, na pia wana JamiiForums wenzangu kwa kuwa pamoja kwa mwaka wote huu wa...
Enzi zile za kukaa darasani, ukisikiliza mwalimu kwa saa kadhaa huku ukipiga miayo, zinaelekea ukingoni! Teknolojia imefanya mambo kuwa rahisi sana, na sasa unaweza kujifunza chochote unachotaka...
Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato(...
Hii imekuwa too much maana kila siku ni mauaji kwenda mbele. Maiti za wanawake watatu zimeokotwa huko Mwanza.
Maiti za wanawake watatu zaokotwa kando ya mto.
-----
Wanawake watatu wanaokadiriwa...
Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko ametoa mwezi mmoja kwa Katibu Tawala wa mkoa pamoja na wakuu wa wilaya zote za mkoa wa Katavi kufanya ukaguzi wa kina kwenye maeneo ya biashara nakuchukua...
Kwema wakuu
Katika utafiti wangu mdogo nilioufanya nimegundua kanisa katholiki lina maeneo makubwa ya ardhi unapokuta kanisa la roma lazima kuwe na heka nyingi sana. Nini kilisababisha kuwa na...
Wewe mwana JF mwenzangu utakuwa jaji kwenye hili, je, nani anadanganya?
"Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, lasema lawatuhumu Meya wa zamani wa Ubungo, Boniface Jacob na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.