Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo; Pawe pasafi sana Gharama affordable Isiwe na baa au makelele Pawe na uzio na usalama pia
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Mratibu wa Mtandao wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Tanzania, Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba licha ya jitihada ambazo zimefanyika katika zoezi la uokoaji kwenye gorofa...
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Kuanzia hii njanuari ni kahawa, majani ya chai na maziwa. Au kuna mbaya wajameni? - Alisikika mtu mmoja.
16 Reactions
157 Replies
4K Views
Waandishi wa Habari zaidi ya watano Mkoani Kagera wamekatwa na kuweka kizuizini na Jeshi la Polisi kwa maelekezo ya Diwani wakati walipoenda kutekeleza majukumu yao ku-balance story. Ilikuwa siku...
3 Reactions
17 Replies
899 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemaliza mgogoro baina ya Wamiliki wa Shamba la Sisal Estate na Wananchi 400 wa Kata ya Kwashemshi Wilaya ya Korogwe...
1 Reactions
2 Replies
337 Views
Kumekuwepo la ongezeko kubwa la matumizi na athari za dawa za kulevya nchini, hasa mijini, hivyo watu kwa utashi wao wameamua kuanzisha "Sober House". Lakini watu kadhaa waliowahi kwenda huko...
3 Reactions
17 Replies
5K Views
Mtanzania aitwaye Juma (jina lake la pili tunalihifadhi kwa sababu maalum) anayedaiwa kumuweka rehani ughaibuni Mbongo mwenzake Adam Akida Mwinyimkuu, mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam...
6 Reactions
83 Replies
10K Views
Kuwa wa kwanza kuzaliwa hakika ni mapambano makubwa sana,kwasababu moja kwa moja unajikuta majukumu yanakuandama kwa namna moja au nyingine Hawa watu wanajitoa sana kuokoa jahazi lisizame katika...
41 Reactions
144 Replies
5K Views
Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo...
0 Reactions
2 Replies
686 Views
Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati...
3 Reactions
9 Replies
800 Views
Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa. Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto (kubwa...
1 Reactions
3 Replies
552 Views
Hizi ni taswira ya vijiji vya Afrika, Asia, Uarabuni na Ulaya. Waafrika tunakwama wapi? Je bado tunasumbuliwa na ukoloni au tumerogwa au kunani hasa?
10 Reactions
51 Replies
3K Views
Hello JF, Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi. Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
0 Reactions
19 Replies
14K Views
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili...
18 Reactions
162 Replies
7K Views
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela 💞UMSIKILIAYE NDIYE AKUSIKILIZAYE 🗣️Kuna vitu katika jamii vikifanyika vinachukuliwa Kama uchawi au kiini macho, Siyo kwamba kiini macho hakuna, vipo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
STARSEEDS Sehemu ya kwanza Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela 🔴 "kipi kitakachomdhuru mtu Kama akiupoteza ulimwengu mzima lakini akaweza kuikoa nafsi yake"?. 🗣️Ulimwengu Wala haupo...
1 Reactions
0 Replies
271 Views
Salaam/Shalom TAFSIRI YA UPEPO ,WIKPEDIA; Ni mwendo wa hewa. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua, hupanuka kuwa nyepesi na kupanda juu hivyo inaacha nafasi ambako hewa...
0 Reactions
5 Replies
542 Views
Aliyekuwa WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge anaogelea katika utajiri wa zaidi ya Sh. 25 bilioni zenye utata huku Rais Jakaya Kikwete akiendelea kumkumbatia, MwanaHALISI limegundua.Chenge...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…