Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakulungwa , huu mwaka 2025 Mimi nimeamua kula Bata na kufurahisha nafsi yangu, Yani ni mwaka sio wa kujitesa tena . Haya maswala ya kutafuta pesa na Bado hauli Bata nimeona sio kweli..maisha...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakazi wa Kisarawe II, Mtaa wa kichangani kwani tumeikosea nini serikali? Tumejichanga na kupata kiasi cha fedha ili kutengeneza barabara yetu ya mtaa Ila serikali ni kama haioni vile. Tumeomba...
1 Reactions
1 Replies
324 Views
Kipande cha barabara inayopita kwenye Soko la Ilala Boma Jijini Dar es Salaam, Mtaa wa Tabora hakipitiki kipo kwenye hali mbaya kutokana na kuwa na mashimo makubwa huku maji huku pia majitaka...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Kipindupindu ni ugonjwa unaoambukizwa kwa mwanadamu kula kinyeshsi FRESH cha mwanadamu mwenzake. Kipindupindu si tu ugonjwa, ni ugonjwa wa aibu maana umekula "puu" ya mwezio. Kipindupindu ni...
6 Reactions
15 Replies
799 Views
Wakuu hii nimejionea mbwa wana urafiki wa kindaki ndaki
3 Reactions
25 Replies
1K Views
Habarini, Ni maajabu na unafiki kwa serikali iliyoko madarakani kujinadi kuwa ni TIIFU kwa wananchi wake wakati inadaiwa na haina mpango wa kuwalipa kwa sasa hasa ukizingatia nchi inaingia kwenye...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Wanabodi, Soko la hisa ni sehemu nzuri kwa makampuni yanayokua kupata au kuongeza mtaji kutoka kwa wawekezaji mbalimbali. Mpaka sasa, soko la hisa la Dar Es Salaam lina makampuni 28 ambayo yako...
2 Reactions
0 Replies
439 Views
Nawasalimu katika jina pendwa la Bwana wetu Yesu Kristo . Mfalme wa utukufu. Nimewaandikia hili kuwakumbusha hila za ibilisi,na njia yake kuu anayoitumia yakugeuza maandiko. Nakufanya watu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
KIZIMKAZI HEALTH CENTER YAZINDULIWA KUSINI UNGUJA Pichani ni Muonekano wa Kituo kipya cha Afya Kizimkazi au KIZIMKAZI HEALTH CENTER katika Wilaya ya Kusini Unguja ambacho kimezinduliwa na Rais...
0 Reactions
5 Replies
756 Views
Nimezaliwa mitaa yenye ustaarabu, nikakulia nje ya mji,nikaanza maisha uswazi na kwenye slums,nimewahi kuwa homeless kwa miezi kadhaa hapa nchini na nje ya nchi, nimeishi mikoani vijijini kabisa...
5 Reactions
4 Replies
664 Views
Baadhi ya wananchi mkoani kilimanjaro hususani katika Wilaya ya Hai, wamezikataa machine za mchina za kamari almaarufu kama Bonanza au kodokodo zinazotumia sarafu za 200 kuchezesha. Wananchi...
19 Reactions
67 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni Mama wa msanii wa muziki Bongo, Hamisi 'Tajiri Chui' Mwelemi amekataa gari jipya alilopewa na mwanawe huyo, akidai kuwa zawadi hiyo inahusiana na shughuli za...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
👉🏾Safari ya kuwa padre ni mchakato wa kiroho na kihistoria unaohitaji kujitolea, imani, na mafunzo ya kina. Kuanzia mwito wa ndani hadi uteuzi rasmi, kila hatua inajumuisha changamoto za kiroho...
1 Reactions
1 Replies
472 Views
Katika hali isyokuwa ya kawaida kabisa kwa zaidi ya wiki tatu sasa Pwani ya Mkoa wa Dar es Salaam hasa Baharini imekuwa si sehemu salama tena kwani kumekuwa kukionekana sana Maiti zikielea mara...
15 Reactions
227 Replies
28K Views
Habari wakuu, Kuna maiti zimeokotwa kando ya reli dar es salaam. Bado haijajulikana maiti hizo zimetokea wapi. Hata hivyo sijajua kama Polisi wameshazungumzia hilo swala. Ni vizuri Bunge liunde...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu, Katika Msitu wa Chamazi shamba la Muhimbili eneo lilipo Kata ya Chamazi mtaa wa Dovya leo mnamo saa tatu asubuhi imeokotwa miili 3 ambayo imeanza kaharibuka karibu na tank la maji la...
10 Reactions
54 Replies
12K Views
Kasumba hii inaathiri sana uwezo wa watu wetu wa kufikiri kwa kina, hasa katika bara letu la Afrika. Akili za Waafrika wengi zimekuwa kama sifongo zinazofyonza taarifa bila kuchuja wala kutafakari...
0 Reactions
0 Replies
281 Views
MAITI tatu zimeokotwa kwenye fukwe mbalimbali za Zanzibar katika siku tatu zilizopita zikiwa zimeharibika vibaya, kuwa na majeraha ya kukatwa na kitu chenye makali zikiwa zimefungwa kwenye viroba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wavuvi na wafanyabiashara katika masoko na minada ya samaki ya Kunduchi, Ununio na Feri jijini Dar es salaam wanaishi kwa hofu baada ya kuwepo kwa taarifa za kuopolewa miili 15 ya watu baharini...
2 Reactions
90 Replies
11K Views
CHANGAMOTO KUU ZINAZOWAKABILI VIJANA NA MABINTI WA KIZAZI HIKI NA NAMNA YA KUKABILIANA NAZO Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Utazifahamu changamoto kuu zilizombele yako. Utajua chanzo au vyanzo...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom