Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuuu Habari Za Sahivi, Aisee Mimi Ni Kijana Tupo Kwenye Utafutaji Wa Maisha Sasa Kuna Jamaa Angu. Harakati Zangu Nawahi Kuruudi Mapema Kabisa Napumzika Mapema Sio Mtu Wa Mambo Mengi Jamaa...
7 Reactions
50 Replies
2K Views
Mwanamke anapokuja kwenye mahusiano na wewe huwa anakuja akiwa hana tabia. Tabia atazikuta kwako. Wewe ndo utakae mfanya awe anakuomba hela ya nauli kila ukimuita magetoni na wewe ndio utakae...
11 Reactions
65 Replies
2K Views
JESHI la Polisi Mkoa wa Geita linawashikilia watu 11 kwa tuhuma za kukutwa na laini 9,389 za mitandao ya simu walizokuwa wakitumia kufanyia matukio mbalimbali ya uharifu kwa njia ya mtandao na...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Uwezi kupewa siri sababu inataka watu waliozoea misiba sana. Bei ya chini jeneza sikosei ni laki na kitu mpaka milioni. Linapotokea swala la msiba wengi huwa hawataki kuuliza mara mbili kuhusu...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Si ajabu kusikia kwenye vyombo vya habari au mazungumzo kama kuna jambo limetokea mfano wa ajali tuseme: “Ajali imetokea maeneo X na kusababisha majerehui 32 na mmasai mmoja.”
2 Reactions
7 Replies
283 Views
Utafiti unaonyesha kwamba maisha ya dar es salaam ni magumu sana kama hauna pesa au kipato cha kuaminika kinachoweza kukufanya uyamudu matumizi yako muhimu ya kila siku. Ugumu huu wa maisha ya...
2 Reactions
76 Replies
14K Views
Jana niliandika uzi kuhusu njiwa kuingia nyumbani kwangu wakati wa mvua na alionekana wala hata hagomi kushikwa alikuwa mtulivu tu, hata akiruka anarudi mahala flani kwa muda huo Sasa jana...
2 Reactions
51 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa. Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga. Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick...
0 Reactions
0 Replies
286 Views
Siku hizi kila mtu anazungumzia Kagame kwa mabaya, mara ooh ni dikteta, mara anatufanyia figisu, mara atoke madarakani. Lakini wachache sana wanajua ukweli wa historia yake na jinsi Tanzania...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Zanzibar, 14 Machi 2025 – Yas Tanzania imefanya hafla maalumu ya futari na wateja wake wa Zanzibar katika Hotel Verde, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku 100 tangu mabadiliko rasmi ya chapa...
0 Reactions
2 Replies
494 Views
Tukio la moto lililochoma bweni la shule ya Sekondari Makanya wilayani Same mkoani Kilimanjaro limeibua maswali kuhusu usalama wa miundombinu ya shule na uwezekano wa hujuma. Wakati wanafunzi 14...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linachunguza tukio la kifo cha Yosia Johani Keya (25) mwanachuo mwaka wa tatu katika chuo Cha kilimo cha Sokoine (SUA). Tukio hilo limefahamika...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa hapa Tanzania kada ya sheria inadharaulika sana. Mwanasheria anaonekana kama dalali tu. Ila ajabu ni kwamba kwa wenzetu wanaofahamu umuhimu wa elimu wanawaheshimu sana wanasheria. Marekani...
6 Reactions
35 Replies
1K Views
Hivi TARURA Mkoa wa Mbeya, kilichowafanya mkamwaga vifusi kwenye hii Barabara ya kutokea Shule ya Sekondari Sangu kuelekea Benki Kuu na kuviacha bila kusambaza ni nani? Barabara ni mbovu...
1 Reactions
4 Replies
575 Views
Ahsanteni sana TARURA Mkoa wa Mbeya kwa kusikia kilio chetu Wananchi wa Kata ya Forest. Hatimaye vile vifusi vilivyokuwa vimemwagwa katika Barabara ya Sangu kuelekea Benki Kuu vimeanza...
0 Reactions
8 Replies
641 Views
BENKI KUU KUZUIA WAFANYAKAZI WAKE KUJIUNGA NA OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA Katika mazungumzo na mfanyakazi mmoja wa benki kuu ya Tanzania ambae ni mhitimu wa masomo ya shahada ya uzamivu katika...
4 Reactions
18 Replies
5K Views
Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo...
28 Reactions
138 Replies
4K Views
Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Back
Top Bottom