Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa. Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua...
8 Reactions
152 Replies
5K Views
Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni siku ya furaha na huzuni pia 1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
DR Mambo Jambo njoo utoe neno. Afya ndiyo utajiri wa kwanza wa mwanadamu! Baada ya utafiti wa muda mrefu hatimaye imebainika kuwa pombe za aina zote zinasababisha aina saba za kansa. Iwe...
1 Reactions
14 Replies
711 Views
Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
1 Reactions
0 Replies
979 Views
Wakuu habar za mchana, najua humu kuna account official ya Brela. Nahitaji msaada wa dharura Kuna Agent nilimpa task ya kunifanyia annual filling na custom search, lakn mpaka sasa ni wiki ya 6...
0 Reactions
7 Replies
741 Views
Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili. Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Najaribu kuangalia Sanaa ya uchekeshaji jinsi inavyopata umaarufu, ni kitu kizuri sana ila sasa binafsi nakwazika namna ambavyo dini ama imani fulani zinavyotumika katika kuchekesha na mbaya...
2 Reactions
8 Replies
431 Views
Kwanini ni muhimu kuweka plan nzuri? Siku moja wanafunzi wanne wa chuo wanaosoma programme moja walicheza hadi usiku sana hawakusoma na kesho yake kulikua na Test imepangwa. Kulivyokucha wakawaza...
4 Reactions
11 Replies
625 Views
Mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam kutoka shule ya uchumi jina lake ni Jimmy Mathias Bughado mkazi wa Tabora, ametoweka katika mazingira ya kutatanisha hajulikani alipo toka siku ya...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
Nilikuwa napitia kitabu kimoja cha zamani(Mtawa Maporini-2) na nikakutana na neno Shamba la Bibi(Likimaanisha eneo lililohifadhiwa). Basi ikabidi niingie kwenye "shimo la sungura" ili kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
537 Views
Habari zenu wakuu. Kuna hiki Chuma kimedondoka kaunti ya Makueni huko Kenya. Mashuhuda wanasema kilikuwa na mshindo mithili ya Radi. Kuna maelezo yoyote ya kitaalamu yametolewa?
16 Reactions
125 Replies
6K Views
Pesa ina chuki mno na sisi binadamu. Itoshe kusema pesa ingekuwa binadamu msanii basi ingetuchana mno kwenye dis track. Ile hit em up ya 2pac ingekuwa cha mtoto.
1 Reactions
5 Replies
509 Views
Unaambiwa Abiria wa Ndege ya Cathay Pacific Flight 880 walifanikiwa kusherehekea Mwaka Mpya mara mbili kwa kuruka kutoka mwaka 2025 na kurudi mwaka 2024. Safari ya ndege hiyo iliyovuka Bahari ya...
12 Reactions
52 Replies
3K Views
Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia. Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe. IKO...
9 Reactions
111 Replies
4K Views
Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet. Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari? Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba...
2 Reactions
5 Replies
474 Views
Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
0 Reactions
3 Replies
633 Views
Hivi ofisi zao wanafanya kazi mpaka jumamosi?
0 Reactions
1 Replies
395 Views
Back
Top Bottom