Daktari mkuu Marekani: Pombe inasababisha aina saba za kansa

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
2,555
Reaction score
9,815
DR Mambo Jambo njoo utoe neno. Afya ndiyo utajiri wa kwanza wa mwanadamu! Baada ya utafiti wa muda mrefu hatimaye imebainika kuwa pombe za aina zote zinasababisha aina saba za kansa.

Iwe umekunywa kiasi kidogo au kingi athari ziko pale pale!Kupanga ni kuchagua na afya ni yako mwenyewe!

"The direct link between alcohol consumption and cancer risk is well-established for at least seven types of cancer ...regardless of the type of alcohol (e.g., beer, wine, and spirits) that is consumed," Mr Murthy said in a statement.

Mara baada ya tangazo kutoka biashara ya pombe Marekani imeanza kudoda!

Alcohol stocks drop after US surgeon general calls for cancer warnings​

January 3, 20257:04 PM GMT+3

Pombe imekuwepo toka enzi na enzi kabla hata Mkombozi Yesu Kristo hajaja kwa ajili yetu wakosaji..
Huyu Surgeon general anaongea nini Lofa huyu?...
Personally siwezi kuacha Pombe kwa sababu ya mpuuzi mmoja kama huyu...
 
Akishasema dr Mmarekani basi unaamin. Sick minded
 
1 Timotheo 5
23 Tokea sasa usinywe maji tu lakini tumia mvinyo kidogo, kwa ajili ya tumbo lako, na magonjwa yakupatayo mara kwa mara.
Huyo Dr wako ni kenge kama kenge zingine tu!
 
Hii miponge gongo ya siku hizi yenye alcohol content kubwa kama Konyagi. Mtu anayepiga Ulanzi, Mbege, Kimpumu, bia, nk atapata wapi makansa?
 
1. Alcohol Cause Cancer

2. Cigarettes cause Cancer

3. Sugar cause Cancer

4. Packed foods cause Cancer

5. Red Meats cause Cancer

6. Sodas cause diabetes and cancer

7. Salts cause kidney failure and Stomach cancer

8. Excessive water cause hyponatremia and contaminated water near geothermal and arsenic cause cancer

9. Carbohydrates cause diabetes and Cancer

10. Car exhaust cause Cancer

11.Rice contain arsenic and excessive consumption cause cancer

12.Mahindi ya Ugali with aflotoxins cause cancer

13.Sex Cause Cancer

Choose what may kill you happily.

No one is safe.
 
niyakweli ila binadamu sisi ni wabishi in nature chamsingi usiache pombe ikutawale au ikufanye mtumwa wa kuiabudu
 
Uzuri tutakufa wote, na uzuri zaidi by 2090 wote tutakua tushakua crude oil
 
Pombe imekuwepo toka enzi na enzi kabla hata Mkombozi Yesu Kristo hajaja kwa ajili yetu wakosaji..
Huyu Surgeon general anaongea nini Lofa huyu?...
Personally siwezi kuacha Pombe kwa sababu ya mpuuzi mmoja kama huyu...
Kuwepo toka enzi haimaanishi haina madhara. Hamna logic hapo
Anaonya tu inakuweka katika risk

Mbona janabi anawapigia kelele kama hizo?
 
Mimi nataka kuishi vipindi vitatu

Utoto
Ujana
Uzee

I wanna see my grandson and daughters
 
DR Mambo Jambo njoo utoe neno. Afya ndiyo utajiri wa kwanza wa mwanadamu! Baada ya utafiti wa muda mrefu hatimaye imebainika kuwa pombe za aina zote zinasababisha aina saba za kansa.

Iwe umekunywa kiasi kidogo au kingi athari ziko pale pale!Kupanga ni kuchagua na afya ni yako mwenyewe!

"The direct link between alcohol consumption and cancer risk is well-established for at least seven types of cancer ...regardless of the type of alcohol (e.g., beer, wine, and spirits) that is consumed," Mr Murthy said in a statement.

Mara baada ya tangazo kutoka biashara ya pombe Marekani imeanza kudoda!

Alcohol stocks drop after US surgeon general calls for cancer warnings​

January 3, 20257:04 PM GMT+3

INaweza ikasababisha Kwa baadhi ya Magonjwa Ila sidhani hata kama Yanafika 7 Sijaisoma Hiyo Report ila..
Kwa haraka haraka Pombr Haisabishi ila ni Risk factor ya Kupata Cancer hizo..

Ninazozijua mimi ni Saratani za Kinywa na Koo,Saratani ya Ini,Saratani ya Matiti Na Saratani ya Utumbo Mkubwa (Colon na Rectum)
Japo Hizo zote Pombe huwa Ni risk factor ila sio kisabaishi cha Moja kwa moja
 
Back
Top Bottom