Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wadau. Leo majira ya Saa 8 mchana, nikiwa Maeneo ya Mlimani city napata mahitaji yangu Mara akatokea jamaa mmoja mwenye asili ya Asia, akiwa na kavaa nguo nyeusi juu mpaka chini na viatu...
16 Reactions
177 Replies
29K Views
Hivi wale wanawake wa kutoka asubuhi na waume zao kwenda shamba wanalima kwa jembe la mkono, kupalia n.k. Kama mama zetu walivyokuwa wapo zama hizi?
4 Reactions
7 Replies
445 Views
Heri ya Mwaka Mpya Wana JF Wote! Ninaomba msaada wa mawazo kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna mtu amenipa wazo la kufungua kiwanda kidogo cha juice na kuwa washirika wa biashara (business...
1 Reactions
0 Replies
424 Views
Fikiria ulimwengu ambao mkulima nchini Tanzania au Uganda anabashiri wakati mwafaka wa kupanda mazao yake, mwanafunzi nchini Kenya anapata elimu bora kupitia simu yake, na hospitali nchini Nigeria...
2 Reactions
7 Replies
865 Views
Habari wanajamiiforums? Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha. Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi. Pia, Sikumuomba anilete duniani...
36 Reactions
251 Replies
9K Views
Kitendo cha kuinuka na mabilion ya pesa kumpelekea mtu kwa Dunia hii leo iliyojaa uchu, tamaa, ufisadi, ujambazi, laana plus njaa ya kila namna na shida na mahangaiko ya kila namna na akazikataa...
0 Reactions
2 Replies
481 Views
Wakuu, nasikia tren ya SGR Dar-Dodoma imezima katika kituo cha kidete. Pia soma: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa Serikali...
3 Reactions
190 Replies
14K Views
OMARI Mohamed (22), mkazi wa Yombo jijini Dar es Salaam, amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke kujibu, shtaka la kutaka kumuua msichana baada ya kukataa kumwingilia kinyume na maumbile...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Unakuta mtu kakupa lifti kwenye gari yake binafsi, tena wala hukumwomba alafu cha ajabu sasa...barabara nzima anazungumzia mambo ya mafuta, mara oooh nnapokuaga safari huwa nasave hela nyingi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkiambiwa hakuna cha kumzidi akili binadamu mjue hakuna kwelikweli. Huyu jamaa wanamwita akili Mnemba au kwa lugha ya kuzoeleka zaidi akili bandia kwakweli ana vituko sana. Nitaweka hapa baadhi ya...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwako jenerali mwamunyange : Mimi Technically bila kushinikizwa na mtu nikiwa na akili timamu nimeamua kukuandikia barua fupi nikikumbusha baadhi ya mambo muhimu!! Kwanza kabisa napenda...
19 Reactions
51 Replies
9K Views
Nimesikiliza kwa juu juu hii habari ya "housegirl" kumuua mtoto Kimara lakini kwa hisia tu nahisi huyu housegirl ni muhanga wa jambo ambalo linaweza kuwa limejificha. 1. Jambo hili linaweza kuwa...
43 Reactions
164 Replies
17K Views
Katika mambo ambayo yanichekesha ni kutokana na nchi za africa jinsi wanavyotukana nchi za magharibi na kusifia urusi,china,iran, Pakistan, korea, na nchi nyingi zinazopambana na nchi za...
1 Reactions
1 Replies
287 Views
Uwepo wa Ukumbi wa muziki ambap pia una baa ndani yake (Night Club & Bar) uliopo kwenye eneo la Hifadhi ya Mto Kanoni ni jambo ambalo inaonekana kama mamlaka husika zinazotoa vibali vya ujenzi...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk. My Take...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 73 wa Baraza la Kimataifa la Viwanja vya Ndege kanda ya Afrika, mkutano unaotarajiwa kufanyika jijini Arusha mnamo Aprili 24 hadi Aprili 30 mwaka...
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Back
Top Bottom