Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati...
Wakuu kama ujumbe unavyosomeka hapo juu.
Niliweka vyeti original kwenye academic qualification na nikawa naomba kazi bila shida na kuitwa kwenye interview bila shida yoyote. Ilifika kipindi...
Habari wakuu Kuna hii habari ya serikali inataka kuja na jamii namba. Sasa wakati naangalia UTV habari kwenye maelezo ya hiyo jamii namba umeme ulikata kwahiyo sikuielewa. Na hapa nimekuja kuona...
Kwakuwa kipato changu hakiniruhusu kununua maji ya kunywa, nimechukua hatua zifuatazo:
1. Kununua water dispenser na chupa zake 2, nikiweka chupa moja ya pili inabaki kuwa spea.
Pia nimenunua...
Eeeh wakuu,
Leo nitavunja code ya udalali kwa watu wote ambao wanalala hawajui wakiamka waende wapi wakatafute ridhiki. Hii code kanipa jamaa aliyekuja huku bariadi kwa ishu zake namimi nimeona...
Habari wakuu!
Mwanzoni wa mwezi wa Desemba waziri wa fedha wa Marekani alituma barua bungeni kuarifu ya kuwa wizara yake imedukuliwa yaani (hacked) na mdukuzi anayefadhiliwa na serikali ta...
Hakuna Mganga anayetengeneza pesa wala jini anayetengeneza pesa bali pesa zinatoka benk kuu(BOT).
Kinachofanyika ni kuvuta pesa za wafia dini wanaoamini asili ni shirk.
Hivyo roho mbalimbali...
Wakuu hivi hawa watu wa mikopo ya mtandaoni huwa wanaajiriwa kwa vigezo gani?
Maana nijuavyo mteja ni mfalme na anahitaji kuwa treated vizuri.
Hawa jamaa nilivuta kamkopo kao kama 40k hivi...
Kwa utafiti wangu ndogo nimeona hii kitu ya kuzaa watoto wengi na umaskini(kipato kidogo) sijui ina uhusiano gani na kipato.
Naombeni msaada kwa anaye jua
Kwema Wakuu
Nimeletewa barua ya serikali za mitaa ikiwa na wito WA kutaka niende ofisi za serikali za mitaa.
Kisa na mkasa NI kugoma kulipa Pesa ya taka na ulinzi àmbayo haizidi elfu Tano. Yàani...
Kijeshi, Admiral wa Navy ni cheo sawa na General wa Army. Muundo wetu sasa hivi unataka kuwepo na General mmoja tu kwenye TPDF ambaye ndiye CDF. Hiyo inakinzana sana na muundo wa jeshi zima, kwani...
Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya...
Mida hii ya saa 12:29 nikiwa katika maandalizi ya mwisho kabisa kuelekea kanisa la Ufufuko na Uzima chini ya askofu baba Josephat Gwajima kwa ibada pia nitakuwa nawamegea mambo kadhaa ambayo...
Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini...
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza...
USISHANGAE KUONA ALIYETAKIWA KUKUTETEA NDIO ANAHAMASISHA UPIGWE
Ukiona hayo usishangae hata kidogo kwa sababu yoyote anaweza kuwa yule usiyemtarajia kuwa.
Unaweza msaidia kiberiti awashe moto wa...
SINCE CREATION, WORLD POPULATION IS ESTIMATED AT AROUND 109-117 BILLIONS
Given a current global population of about 7.8 billion, the revised estimate means those alive in 2020 represent nearly 7%...
Ushahidi wa kuibuka Kwa Bahari Mpya inazidi.kuwa wazi.
Wanageolojia wanazidi kuonya kwamba ilidhaniwa itachukua mda mrefu ila Utafiti Mpya unaonesha itachukua mda mfupi zaidi.
Nchi mbalimbali...
Kiongozi wa Walio Wengi Bungeni, Kimani Ichung'wah, amemtuhumu aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua kufadhili vitendo vya Utekaji na Mauji nchini humo kwa lengo la kuichafua Serikali ya Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.