Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimesikia muwekezaji mmoja Mkubwa tu ( Vasso Agroventures) kwenye media akilalamikia kutozwa kodi kubwa na zisizo eleweka pamoja na kuingiliwa miradi yake ya uwekezaj na mwaka 2021 amepata...
1 Reactions
5 Replies
923 Views
Nimegoogle nikaona konyagi inatengenezwa na kiwanda kinaitwa Tanzania Distillers. Kwa muda sasa kinwaji chenu kimekuwa kikinasibishwa na ndugu Mbowe pale ambapo wahasimu wanataka kumtweza au...
1 Reactions
9 Replies
659 Views
Nipo kikazi mkoa fulani na huwa nina kawaida ya kusafiri between towns kutokana na nature ya kazi yangu na ikibidi huwa nalala lodge/guest unapofika usiku au ninapohisi kuchoka/kupumzika. Sasa...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Now I'm doing 50+ Leo nimesoma Bible nikaona umri wa binadamu kuishi ni miaka 70 Nimegundua I have only 20 yrs kuwepo hapa Jamvini na duniani. Nilichoamua kufanya nimeona nianze Kuwa Karibu na...
15 Reactions
56 Replies
2K Views
Nina dada yangu ambaye ameolewa. Huyu dada yangu na Mme wake kila siku ni matatizo tu. Maisha Yao yamekuwa kama movie tu. Mara ana mpiga na kumfukuza nyumbani kwake baada ya miezi kazaa ana...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
https://youtu.be/BtJKuCfA0pE?si=CM2pbLwJ3Ki3uPQ1
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeifuta kesi ya mwanahabari Erick Kabendera, aliyokuwa ameifungulia kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Public...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine...
34 Reactions
48 Replies
6K Views
Ujenzi wa Mradi wa SGR hapa Mwanza ambao kwa muda mrefu umekuwa hauna mwendelezo umesababisha kero ya foleni hasa katika Barabara ya magari eneo la Mswahili Mkoani Mwanza. Kero hiyo ipo zaidi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu sina ndoto ya kuja kuwa Rais hata kwa dk1 sina.Msije mkaniteka bure Nikamuacha mke wangu akiwa bado mbichi kabisa. Mara zote huwa nafikri kama ningepata nafasi ya kuwa rais wa nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
406 Views
Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua...
8 Reactions
152 Replies
5K Views
Kwema wakuu, Hasa kwetu sisi vijana ambao bado tunatafuta, we unaona wapi bora kati ya dar es salaam na mikoani. Karibu
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni siku ya furaha na huzuni pia 1. Ni siku ya huzuni kwakuwa bado Kombo Mbwana anasota rumande licha ya kutimiza vigezo vyote vya dhamana.. Simulizi yake inajulikana wazi hakuna haja ya kuirudia...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
DR Mambo Jambo njoo utoe neno. Afya ndiyo utajiri wa kwanza wa mwanadamu! Baada ya utafiti wa muda mrefu hatimaye imebainika kuwa pombe za aina zote zinasababisha aina saba za kansa. Iwe...
1 Reactions
14 Replies
711 Views
Samahani nlikuwa nahitaji kujua jinsi ya kuadd attachnment kwenye sytem ya rita ya kuomba cheti cha kuzaliwa nlikuwa nimeshalipia hadi control number sasa natakiwa niongeze barua ya serikali za mitaa.
1 Reactions
0 Replies
979 Views
Wakuu habar za mchana, najua humu kuna account official ya Brela. Nahitaji msaada wa dharura Kuna Agent nilimpa task ya kunifanyia annual filling na custom search, lakn mpaka sasa ni wiki ya 6...
0 Reactions
7 Replies
741 Views
Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya. Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate...
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili. Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Najaribu kuangalia Sanaa ya uchekeshaji jinsi inavyopata umaarufu, ni kitu kizuri sana ila sasa binafsi nakwazika namna ambavyo dini ama imani fulani zinavyotumika katika kuchekesha na mbaya...
2 Reactions
8 Replies
431 Views
Kwanini ni muhimu kuweka plan nzuri? Siku moja wanafunzi wanne wa chuo wanaosoma programme moja walicheza hadi usiku sana hawakusoma na kesho yake kulikua na Test imepangwa. Kulivyokucha wakawaza...
4 Reactions
11 Replies
625 Views
Back
Top Bottom