Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Daraja la Mto Tegeta linalounganisha maeneo ya Salasala na Tegeta Machinjioni limekuwa kikwazo kikubwa kwa Wananchi wa maeneo hayo tangu lisombwe na maji ya mvua mapema Mwaka 2024. Licha ya...
0 Reactions
1 Replies
691 Views
Just imagine kijana kapata division one ya 7 au 10 form four kaenda high school kupiga PCB. Kapambana sana kachakaa kajitesa kajinyima kapata division one form six ya point tatu au tano. Kaaply...
62 Reactions
302 Replies
13K Views
Viumbe vyote chanzo chake ni nishati/nguvu/energy/roho iliyounda chembechembe, chembe zikaunda ulimwengu na ndani ya ulimwengu zikaunda viumbe, kiumbe imetokana na atom yenye...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wote ni Watoto wake japo uwezo umetofautiana Wakijijini kakata kuni, kachota maji, kakaribisha wageni, Katoa ulinzi kwa wageni na siku zote yupo na baba akimtunza. Huo...
2 Reactions
16 Replies
587 Views
Usimfanye mtoto wako kuwa mtoto wa kambo, alelewe na baba au mama ambaye sio wake. atakosa amani, uhuru na furaha kwa miaka yake yote ya utoto mpaka atakapojitegemea. Anaandika, Robert Heriel...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Kipo kikundi kinajiita Royal Family. 2. Jamaa Wana ukwasi sio poa. Kwa namna wake zetu walivyo macho juu na tamaa aisee hii ni hatari tupu - WADHIBITIWE --Chief Godlove, Lugumi Undeni group...
20 Reactions
153 Replies
10K Views
Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs...
7 Reactions
29 Replies
1K Views
imeandikwa kurudi kwa yesu hakutakuwa kwa siri yeye atarudi kila jicho litamwona na mtu akikwambia yupo mahali flani msisadiki wala msimsikilize yesu atarudi na ufalme wote wa mbinguni atakuja...
2 Reactions
8 Replies
595 Views
Nimefuga mbwa wawili, kuanzia mwaka Jana, mbwa wangu hawabweki, hawana utisho, na wakiona mgeni huuficha mkia kwenye uvungu wa paja na kisha kakimbia kwenda kujificha. Tabia ya mbwa hawa...
17 Reactions
97 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewafungia leseni madereva 30 kati ya 179 waliokamatwa katika kipindi cha sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya 2025. Madereva hao 30 walikamatwa...
1 Reactions
11 Replies
643 Views
Wakati mwingine ukipanda husikii chochote na wakati mwingine ukipanda Gia na breki zote unazisikia, yaani mishituko ya hapa na pale.
1 Reactions
8 Replies
727 Views
Anonymous
Hatujalipwa pesa zetu za korosho wa mnada wa 8,9 Newala kitangari ,tangu mnada umepita ni mwezi sas na hakuna taarfa zozote zinazotolewa kwa katimu wa chama cha msingi Limanga
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho kuhani amsaidie maeneo ya temboni kuelekea kwa...
42 Reactions
211 Replies
8K Views
Wamiliki mbwa hasa wa mjini wanaofuga mbwa kama pets au kwa ajili ya ulinzi ndani ya mageti katika nyumba zao huwa wanawapeleka wapi hao mbwa wanapozeeka? Huwa sioni mbwa wazee katika nyumba za watu!
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Dodoma, Abdulhabib Mwanyemba amewaasa wanasiasa wa vyama vya upinzani kuwa watulivu, wakati huu ambao serikali inafanya...
1 Reactions
2 Replies
320 Views
Salaam, shalom!! Najaribu kuangalia tofauti kati ya shanga zinatumiiwa na Waganga, maasai, rozali na misaafu ,zinakuwa na mwonekano unaokaribiana Kwa karibu!! Nini Hasa asili ya shanga, rozali...
0 Reactions
6 Replies
551 Views
Habari naitaji kujua experience ya aliyetumia halotel fiber na 4g ile ya 50,000 ya halotel pia...
0 Reactions
8 Replies
739 Views
Anonymous
Hii ni picha ya watu Wanafanyabiashara juu ya maji taka yanayosambaa eneo hilo la soko. Kwa Hali hii tutapona milipuko ya magonjwa? Au tunasubiri mlipuko uanze kisha ziundwe Kamati kufuatilia...
1 Reactions
2 Replies
447 Views
IPO Hivi kunguni anafanya harakati zake kimya kimya Tena kwenye Giza Ila ukiwasha Taa anatulia. Katika harakati za Maisha yako fanya mambo yako kimya kimya acha matokeo yaongee. Kunguni akiwa...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Punda mmoja huko Kenya katika jimbo la Maragwa amepoteza maisha baada ya kubakwa na wanaume wanne kwa zamu. Wakisimulia tukio hilo, Wanakijiji wa kijiji cha Kamahuha wanasema kabla ya tukio...
4 Reactions
109 Replies
43K Views
Back
Top Bottom