Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,247
- 6,615
IPO Hivi kunguni anafanya harakati zake kimya kimya Tena kwenye Giza Ila ukiwasha Taa anatulia.
Katika harakati za Maisha yako fanya mambo yako kimya kimya acha matokeo yaongee.
Kunguni akiwa mwilini kwako hawezi kujionesha ukiwa peke yako Ila ukiwa mbele za watu.
Funzo usioneshe uwezo wako mpaka wakati sahihi ficha uwezo wako uoneshe mahali sahihi kwa wakati sahihi.
Kunguni akiamua kukunyonya anakunyonya na anajua mwisho wa siku atakufa.
Hivyo na wewe fanya kazi Kwa bidii Uwe tayari Kufa.
Kitu hutakiwi kuiga Kwa kunguni ni uchafu.