Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutana na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na kuwasilisha mapendekezo ya maboresho yanayoigusa moja kwa moja Wizara ya...
Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba...
Ukipita kwenye Mitaa ya Miji yetu Mingi ni michafu kupindukia kuanzia masokoni Hadi kwenye mitaro ya maji Kila sehemu imegeuka kuwa dampo.
Maeneo ya biashara hayana dustbin Wala ndoo za maji ya...
Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao.
Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu...
Na huu ni ushauri kwa walevi wote wanaoishi Duniani.
Walevi naongea na walevi wote dunia nzima wale wastaarabu nawaweka pembe ila walevi ambao sio wastaarabu huu uzi unawahusu, mkishalewa...
Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu.
Biblia imetabiri watafanya Ishara...
Wakuu habarini!!
Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao...
Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue...
Tunamalizia wiki iliyokuwa na drama nyingi kuhusiana na mwajiriwa wa Msanii Masanja mkandamizaji kwa cheo cha katibu kwenye shughuli zake za usanii na kanisa aliyepoteza uhai kwa kinachosemwa...
Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji ili visiharibike? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha...
Kuna kifungu niliwahi kusoma kinaruhusu kuwa Mtu akiwa sio Muislam na hataki kuwa Muislam anatakiwa kuuawa hilo ni agizo la Mtume ambalo neno hilo lina ruhusu kuua
Ndio maana ya mafundisho ya...
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗗𝗛𝗨𝗜 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 𝗠𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗪𝗔
Ongezeko la watumiaji wa intaneti Tanzania imezongezeka kutoka mwaka 2023 kwenda 2024/2025, huku zaidi ya watu Milioni 33.3 wanatumia...
Mambo vp wadau?. Hivi kama umeenda TRA kufanya makadirio na waka sema utumie mashine ya EFD wakati hata uwezo WA kununua hyo mashine huna inatikiwa ufanyaje wakuu
Sisi Wakazi wa Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna kero ya muda mrefu ya foleni ya magari makubwa ya mizigo katika Mizani ya Mikumi, hali ambayo inatufanya kuhofia kutokea kwa ajali...
Polisi mkoani Katavi inawashikilia askari wawili wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) kwa kosa la kumuua kwa risasi mfugaji aliyetambulika kwa jina la Gimbagu Mandagu mwenye umri wa miaka 25...
AMEACHA VYETI VYAKE KWENYE GARI
Anayemfahamu Ndugu Ramadhan Ally Idavas, Vyeti vyake ninavyo.
Nilichanganya begi, nikachukua lake nikaacha langu kwenye basi la An Express la kwenda Dar es...
KANUNI YA MTETEMO/PEPONI VS
KUZIMU
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
🗣️Hakuna kinachopumzika, Kila kitu kinajongea, Na kila kitu Kiko kwenye mtetemo/kinatetema.
✍️Kila kitu...
Waliowengi wanaweza kua na shaka na utendaji wa Paul Makonda kwenye wizara kama waziri ila trust me mpaka hakuna ambacho kimekosekana kwenye wizara ya NISHATI ila umeme wa uhakika umekua...
Natumai mu wazima wa Afya Huku tukizidi kupiga hatua mbele katika Bwana
Mimi ni Msikilizaji mzuri sana wa Mahubiri TV, Na sio Msabato pia siwezi kuwa Msabato Ila neno la Mungu halina dini...
Nimeamua kuuleta huu uzi kutokana na mada kadhaa nilizoziona humu JF zinazoongelea vituo vya watoto yatima kwa mtazamo hasi. Baadhi ya watu wametamani hata hivyo vituo visipewe misaada au vifutwe...
Afisa bima wa VodaBima kutoka Vodacom Tanzania PLC kanda ya Ziwa, Hellen Masali akimuwekea mafuta mteja wa kampuni hiyo Omari Ramadhan jijini Mwanza. Mafuta hayo yametolewa bure ikiwa ni moja ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.