Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa kipindi kirefu na hata mpaka leo hii watu wengi sana wanashangazwa na piramidi za kale za Misri. Kuna mjadala mkubwa sana jinsi zilivyojengwa, ni nani waliozijenga na walipata hiyo teknolojia...
8 Reactions
23 Replies
1K Views
Nisiseme sana.... Najua humu Kuna wataalamu... Nauliza, mtandao gani wa simu (laini ya simu) ni salama kwa Matumizi ambao unatunza faragha za wateja wake? Mitandai ambayo ipo tz ni; 1.Tigo...
0 Reactions
9 Replies
555 Views
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi Baadhi ya ndugu...
14 Reactions
103 Replies
3K Views
Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu...
2 Reactions
5 Replies
579 Views
Hivi ndivyo university students wengi wa kike wanavyoishi maisha yao siku hizi, wengi wanaishi maisha yasiyoendana na hali za kiuchumi za makwao. Na wengi wanaingia kwenye maisha ya namna hii kwa...
5 Reactions
22 Replies
1K Views
I know kuna watu watasema kuwa nimechanganyikiwa ila ni uhalisia kuwa Mifumo hutengenezwa ili kudhibiti matokeo,na ikitokea mfumo ukashindwa ndipo inakuwa ni mapinduzi na kuzaliwa mfumo mpya...
2 Reactions
1 Replies
231 Views
BASHUNGWA ATUMIA GARI YENYE NAMBA YA BINAFSI, APONGEZA UTENDAJI KAZI WA ASKARI BARABARANI. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa akizungumza na askari wa usalama barabara katika...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
TUSIPENDE KUWAHUKUMU WATU TUWANAO WAMEFANIKIWA KAMA HATUJUI KWA NINI WAKO HIVYO KWA NDUGU AU JAMAA ZAO Wapo watu tunawatazama wamefanikiwa sana katika maisha yao ila ndugu zake wako nyuma sana...
4 Reactions
9 Replies
583 Views
Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya wazazi, wengi wao wakilalamika kuhusu matunzo waliyotoa kwa watoto wao. Mfano huyu mmoja alilalamika kwamba alipata shida sana kukumtunza mtoto wake akiwa mdogo...
10 Reactions
31 Replies
1K Views
Leo naona nilite mada Chokonozi; Wengi tumewahi sikia maneno kama Copyright, Trademark patent na mengine kama hayo. Wengine tunayasoma tu tukifikiri na vibwagizo lakini kuna wengine wanayatumia...
6 Reactions
39 Replies
5K Views
Abiria wanalalamika chenji hamrudishi kwa visingizio hamna chenji. Abiria ukitoa 1000 chenji 250 unaambiwa simama pembeni subiri chenji kama una haraka unamwachia chenji. Hii hajakaa sawa kabisa...
1 Reactions
8 Replies
516 Views
Mama yangu alikua ni mtu anayenitia moyo sana na kunishauri vitu vingi. Aliniunganisha na watu wengi Baada ya mama kufariki wale watu walipotea Najiuliza Ata ikitokea Leo nimepata shida sijui...
14 Reactions
139 Replies
5K Views
Labda Leo tuwaeleze kwa kifupi Sana. Ukiona wewe ni mpinzani, au unajiita mpinzani kisiasa lakini Sisi WanaCCM tunakuunga mkono kwa maneno na vitendo basi fahamu wewe sio mpinzani wetu Bali ni...
1 Reactions
4 Replies
367 Views
Magufuli nakuomba msamaha kama nimewahi kukukosea popote pale, Mimi ni binadamu ni mkosefu. Tupo tunaendelea na mama yetu kipenzi chetu na anafanya vyema sana na tupo pamoja nae kila hatua. Ila...
20 Reactions
137 Replies
6K Views
1 Mzee usimkemee, bali umwonye kama baba; na vijana kama ndugu; 2 wanawake wazee kama mama; wanawake vijana kama ndugu wa kike; katika usafi wote. 3 Uwaheshimu wajane walio wajane kweli kweli...
4 Reactions
10 Replies
728 Views
Ngamia hunywa maji safi na ya chumvi. Anaweza hata kunywa maji kutoka Bahari ya Chumvi na hakuna kitakachoipata. Hii ni kwa sababu figo za ngamia huchuja maji: hutenganisha na chumvi na kugeuza...
65 Reactions
220 Replies
11K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa (Mb) ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kusimamia Kitengo kinachoshughulikia Malalamiko yanayotolewa kwa Wizara, Taasisi na...
1 Reactions
6 Replies
538 Views
Ni mauaji yaliyogubikwa na simulizi na hisia tofauti juu ya nini hasa kiini cha mauaji ya mkurugenzi mkuu wa zamani wa Idara ya Usalama wa Taifa nchini (TISS), Luteni Jenerali Imran Kombe...
18 Reactions
88 Replies
20K Views
Wadau hamjamboni nyote? Misa ya wafu ni sahihi Kanisa moja takatifu la Mitume Tafakuri ya kina kwa wenye elimu ya theolojia Dominika njema "Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona chini ya...
0 Reactions
0 Replies
217 Views
Back
Top Bottom