This vision I got this morning at seven o'clock.
Nilikuwa katika ndoto.
But in this dream I was sitting cross- legged doing meditation.
And then I disengaged from the body and I started drifting...
Chai ya Fatu…Chai ya kitanga 👌 Chai imepikwa sio kuchemshwa chai ya mtoto hii yinyi mnaita eti peace au pisi 🔥ukiiangalia tu unapata hamu kuinywa 😋
Na Kuna zile chai zenu zile za majani na...
Sjazungumza sana naombeni mnitajie tu nchi zilzoendelea ambapo maendeleo yao yalikuja kirahs rahs bla kupta kwa mkono wa chuma na kumwaga damu za watu wengi nam ili niweze kujfunza jambo kabla...
Adui namba moja wa mwanadamu ni "Sifa"
Sifa ni neno dogo lenye herufi nne, lakini limeumiza, limeangamiza, limeua na limepoteza haiba, roho, nafsi, karama, vipaji na uwezo wa wanadamu wengi sana...
It has been so long since à well known personel secretary of Mh Mbowe went missing .
The where about of the missing went viral to international levels unfortunately the authorities in Tanzania...
Dar es Salaam. Ni kimya kimetawala Kitongoji cha Hiti kilichojificha katikati ya mashamba ya migomba, kahawa na miti mikubwa. Ni katika miteremko ya Mlima Kilimanjaro wilayani Rombo ndiko...
Baraka zinatoka kwa Baba na baba ndio MUNGU mwenyewe.
Baba yako akikubariki hiyo baraka huwa ni uhakika moja Kwa moja.
NB: Hapa nazungumzia Baba mzazi anayejitambua na aliyekuzwa katika maadili...
Wasalaam allaykum na Bwana Yesu asifiwe ndugu zangu watanzania wenzangu wa dini zote. Twende moja kwa moja kwenye mada.
Dini zote mbili za Tanzania wanaamini kuwa Mungu ni mmoja.
Hii ni kweli...
Kwamba, sisi ndio wateja, then wao ndio succesful business owners. Kwamba wanauza "tumaini la kufikirika" huku sisi tunatoa "pesa za kushikika"
Kwamba injili ilipaswa kuwa hivi? bodyguards...
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu.
Dominika njema
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu wa JamiiForums.
Hii ni post yangu ya kwanza ya mwaka huu wa uchaguzi 2025. Natumai uchaguzi utakuwa na mambo mengi sana tutaona sura mpya nyingi za wabunge pale...
Bila kujali nani atashinda ama kushindwa na nini kitatokea baada ya uchaguzi, nimeona ukubwa wa CDM katika siasa za Tz. Uchaguzi wa Mwenyekiti CDM Taifa umetawala siasa za Tanzania kwa wiki...
Tunakukumbusha!
✍️Sisi ni marafiki zako tunaokupenda, lakini ukifilisika kamwe hatutopokea simu yako na hatutopenda kukuona machoni mwetu.
✍️Elewa sisi ni watu wako wa karibu sana, lakini...
📖Mhadhara (76)✍️
Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo.
Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba...
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands...
Wakati tunaanza chuo mwaka 2002 the guy alikuwa smart mpaka tunamaliza 2005. Nlikuwa naona ni moja ya watu ambao watakuja kufanya makubwa sana nchini.
Nimekuja kutana naye mwaka jana...kwanza...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa...
Wakuu heri ya X-Mass na Mwaka Mpya,
Kama ambavyo heading inajieleza yenyewe,
Naomba tuelimishane jamani, nimejaribu kuchunguza sana nikagundua kuwa watu wengi (asilimia kubwa) ya watu wenye...
Ndugu yangu hizi sio stori za vijiweni huenda hata wewe msomaji ukawa uko katika kundi hili lakini hadi sasa mambo bila bila.
Nakaribisha uwanja wa majadiliano hapa wakuu karibuni mwenye mawazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.