Kumuona nabii milioni 1.5 nimechoka

Kumuona nabii milioni 1.5 nimechoka

bikira latifah

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2016
Posts
836
Reaction score
2,805
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bin taaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho kuhani amsaidie maeneo ya temboni kuelekea kwa msuguri , kaambiwa na wasaidizi wa kuhani atoe milioni 1.5 amuone kuhani.

Baada ya kulipa hiyo hela chawa wa Kuhani wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize

Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka

Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
 
Aende makanisa ya kawaida ya kiroho asiangalie majina ya hao watumishi. Akienda na Imani ya kupona atapona vizuri, hao watumishi wakubwa washakuwa kiburi..makanisa madogo dogo hayo kuna watumishi wako vizuri kiroho ni vile tu hawana mambo mengi na wemgi hawawaamini sababu hawana hekaheka
 
Nimechoka
 
Kuna ndugu yangu anaumwa hoi bintaaban kawekewa mavitu huko kazini na yeye sio muumini wa waganga akaona aende Direct kuonana na baba yake wa kiroho nabii amsaidie maeneo ya temboni kuelekea mbezi , kaambiwa na wasaidizi wa Nabii atoe milioni 1.5 amuone nabii, baada ya kulipa hiyo hela chawa wa nabii wanamzungusha na kumpa kalenda kuwa angoje siku aliyopangiwa nabii yupo bize

Na risiti ya m 1.5 imetolewa nimechoka

Kiboko ya wachawi hakuwa peke yake.
Hapa ndipo maandiko yanatimia watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa mpaka unaambiwa toa pesa hushituki tu au mimi ndi sijaelewa au alipotea akaenda Rona clinic 😂😂😂✋🏻✋🏻✋🏻
 
Back
Top Bottom