Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Majuzijuzi niliwaambia kwamba kwa sasa hii dunia inatengeneza watu soft sana, na niliwazungumzia waandishi wa habari walivyokuwa soft, si kama wale wa zamani, yaani usoft wao umekuwa kwenye kila...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni...
15 Reactions
53 Replies
2K Views
Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Ugonile,. Mimi ni muumini mzuri tu wa dini ya kikristo (msabato) ninae amini katika uwepo wa Mungu, shetani na evil spirits zote pamoja na uchawi kuwa vina exist. Jana nilikua napiga stori na...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Wana JF, Nasikitika kuwafahamisha kuwa wanafunzi wawili wa shule ya sekondari Ngasaro Wilaya ya Rorya(kata ya mkoma) wafariki dunia mchana huu baada ya kuangukiwa na ukuta. Kwa taarifa...
6 Reactions
58 Replies
7K Views
Magugu maji yana njia nyingi za kuondoa ikiwa ni kutumia madawa, kupandikiza samaki na viumbe wanaokula magugu maji na kuondoa kwa kukata kwa njia ya mkono na mashine Maalum za kukatia magugu maji...
1 Reactions
1 Replies
425 Views
LAANA YA FAMILIA. Karibu binti na mwana wa Mama Afrika. Mtu au Familia Fulani zina laana au mikosi fulani ambayo, ukiifuatilia unaweza gundua ni jambo la kurithi au la kizazi na kizazi. Pengine...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Nilikuwa Naangalia Makala Ya Utalii Kwenye Tanzania Safari Chanel, Wakawa Wanasimulia Kwamba Mlima Kilimanjaro Umeanzishwa Mwaka 1973. Nikajiuliza Kwani Kabla Ya Mwaka 1973 Hakukuwa Na Mlima...
9 Reactions
19 Replies
854 Views
Barabara inayotokea njia Kuu ya Kinondoni(Kawawa road )kuelekea Mahakama ya Kinondoni/Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki, Ofisi za OSHA imearibika na ina mashimo ambayo sio salama jambo ambalo...
1 Reactions
1 Replies
528 Views
Kuna utamaduni umekuwepo wa kuwatumia watoto kuomba omba na vigoma vyao hasa katika mwezi Ramadhani Huu ni udhalilishaji wa watoto wadogo na kuwajengea fikra duni za kuomba omba Dr Gwajima Toka...
2 Reactions
6 Replies
404 Views
Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira Arusha, Alexanda Bakunguza, amefungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
6 “Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. (Matayo 7:6). Ni Sehemu ya...
2 Reactions
9 Replies
438 Views
Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu Hii matajiri hawawezi kukuambia Uzi umeisha
13 Reactions
136 Replies
4K Views
Anonymous
Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu...
1 Reactions
2 Replies
661 Views
. Angalisho. Binafsi mimi ni mwafrika mkristo, hivyo naamini zaidi Biblia na ndicho kitabu nachokifuatilia Au kukisoma zaidi. Ni katika harakati za kumuuliza Mungu wangu majibu juu ya maswali...
2 Reactions
4 Replies
742 Views
Mimi tokea kuanza kwa ITV na redio zake kupitia IPP ndio naona kuna vipaji vingi vya ma Dj na wahandishi wa habari hata yule mirad makepu katokea huko. Napenda sana kusikiliza taifa ya habari ya...
0 Reactions
12 Replies
679 Views
Nimelipia kifurushi tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia Nafanyeje hapa au ndo nishaliwa?
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Back
Top Bottom