Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu wasalam.. Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana. Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja. Wakuu katika haya...
55 Reactions
327 Replies
11K Views
Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama...
0 Reactions
10 Replies
506 Views
Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika. Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi. Moto huo...
4 Reactions
7 Replies
701 Views
Hiki Chama bado sijakipa jina. Sheria zake; 1.Kada atakuwa hana hiari ya kutokuwa na tabia nzuri. Yoyote atakayekuwa na tabia mbaya atakuwa amefanya kosa. 2.Kama kada akifukuzwa kwa kufanya kosa...
0 Reactions
1 Replies
286 Views
Chanzo: mtandaoni George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako? Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Tanzania yaanza kutengeneza ndege zake Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwamba anaitwa joseph aoun. Aliwahi kuhudumu kama jenerali katika jeshi la Lebanon.
1 Reactions
16 Replies
683 Views
Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?" Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba" Hadi Pilato...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF wenzang, Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi. Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga. Sasa inasemekana kapona hajafa...
22 Reactions
135 Replies
6K Views
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA. Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya...
0 Reactions
6 Replies
892 Views
Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu. Kila kitu...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
CHANYA Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu. COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake...
6 Reactions
15 Replies
779 Views
Kumekucha. Ni neno pekee utakaloweza kulitumia kwa sasa. Yule mfalme wa biashara zote, Said salim Bakhresa anaingia barabarani rasmi muda sio mrefu. Anaanza na Dar hadi Arusha, Dar hadi Dodoma na...
15 Reactions
57 Replies
5K Views
Mlnakumbuka ya Brazili 2023? Walivyofanya sherehe ya kumtukuza Shetani? Kesho kutwa yake Mungu afutilia mbali kamji kote . Vipi kuhusu walomtukana Mungu...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess)...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Nimehudhuria harusi ya jamaa yangu hadi muda huu saa 5 hatujala, Kwenye kuomba mchango wanapiga simu hadi kero, tukihidhuria harusi tule japo kuku, mnatupa viporo usiku saa 7 Wapo wanatuomba...
50 Reactions
102 Replies
4K Views
MSOMI NI NANI AU NI MTU WA NAMNA GANI Na: Comred Mbwana Allyamtu. Hivi karibuni nilikuwa na mjadala mzito na na makomled wenzangu kuhusiana na dhana nzima ya mtu kujiita kuwa ni msomi.Chan zo...
3 Reactions
1 Replies
4K Views
Siku za hivi karibuni tumeona Biashara ya kujiuza ikiendelea kukua siku hadi siku na sababu zikiwa ni nyingi Mimi kwa utafiti wangu mdogo nimezipata zifuatazo kupitia dada zetu waliopo kwenye...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom