Habari wana JamiiForums Leo nimekuja na hii thread
Dunia ya sasa wanawake wengi wameanza kushiriki shughili za uzalishaji mali kwa kiasi kikubwa
Hii inatokana na wanawake kuimarishwa kielimu...
Wakuu,
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dkt. Irene Isaka, amesema mfuko huo unaendelea na mazungumzo na Hospitali ya Aga Khan ili kurejesha huduma za bima kwa wanachama...
Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm.
Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama...
USIMDHARAU MTU
1.
Za kale hapo zamani, hadithi inaanzia,
Yamhusu Yasmini, binti aliyevutia,
Mnene wa wastani, watu aliwazuzua,
Usimdharau mtu, ungali humfahamu.
2.
Juma mwana mtulivu, wa...
Katika pita pita zangu asubuhi hii, nilijikuta nikichukua pumziko kidogo kwenye kijiwe cha kahawa. Hapo, kama ilivyo desturi ya vijiwe vya mijadala, palikuwa na mazungumzo yanayochemka. Ila sikuwa...
TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha...
Heshima sana wanajamvi,
Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !.
Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege...
1. Haijalishi mwanamke ni mrembo au mvuto wake ukoje, kamwe usilale na mke wa mwanaume mwenzako. Unajitakia laana, unaharibu maisha yako, na unavunja mshikamano wa amani kati ya wanaume.
2...
Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia...
Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026...
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT
Aneyasema...
Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo.
Aidha Inatarajia...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu...
Zaidi ya wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wamekabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila. Wananchi hao wameeleza kuwa hati hizo ni urithi kwa...
Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.
Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini...
Karibu binti na mwana wa Afrika.
Nyota ni nini?.
Lugha za dini, huita bahati, Neema, upako, n.k Kinyume chake ni mikosi, laana, gundu, nguvu za mapepo wabaya, bahati mbaya.
Lugha za kidunia, Ni...
Kwanza niwape pole Watanzania wote Mashabiki na wapenda mpira kwa kadhia ya kunyimwa burudani ya soka kati ya watani wa jadi.
Jambo lile limeleta hathari si kwa Azam tv Pekee Bali kwa watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.