Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya...
Ukisoma katika biblia takatifu hasa kitabu cha mwanzo baada ya adamu kula tunda lile walilokatazwa kula Mungu aliwayafuta bustanini asiwaone.
Kumbe kuna wakati mungu Ukijificha hakuoni. Basi...
Context
Huyo mtu anajiita nabii huwa kazi yake ni kuzunguka pale iringa mjini na kuwapigia kelele wanawake waliovaa suruali.
Huwa mara nyingine anawatukana na kuwadhalilisha sana wanawake pale...
🍁🍁🍁🍁MUDRA🍁🍁🍁🍁
✍️mudras ni nafasi za mikono zinazotumiwa katika kutafakari au yoga ambazo uunganisha mwili wa kifizikia na vituo vya nishati ya kiroho vinavyojulikana kama chakras.
✍️Pia husaidia...
zifuatazo ni masafa 9 na faida zake zinazohusiana:
174 hz - husaidia katika kupunguza maumivu na mafadhaiko
285 hz - hurahisisha uponyaji wa ndani na kusawazisha mwili na akili.
(inayohusishwa...
Ndugu zangu, kuna huyu Kiumbe anaitwa Dk Slaa, Sikatai mchango wake kwenye kukijenga Chama cha Demokrasia na Maendeleo lakini kwa sasa anakera.
Wote mnakumbuka, baada ya Mzee Lowasa kuja Chadema...
🌺🌺🌺🌺🌺🌺MAAJABU YA MAUA YA HIBISCUSS🌺🌺🌺🌺🌺🌺
💐kutafakari(Meditation) ni kwa ajili ya nafsi zetu na Kuungana na asili ili kulisha roho zetu . Hii hapa ni baadhi ya mapendekezo ya mmea wa kukusaidia...
HUU NI ULIMWENGU WA UDANGANYIFU
✍️Kuweza kuelewa kuhusu ulimwengu asili lazima ujiunge na wakushi yaani watu wa asili,huko utaweza kutumia mimea,mafuta ya mimea ,wanyama na ndege ,mawe ya kiroho...
Wakuu mpo?
Kwa wale mlio na familia namaanisha mke na watoto nadhani mtanielewa kwa haraka,
Mtu aliyeoa mwenye majukumu, mwenye afya njema ni nadra sana kumkuta kalala ndani bila kujishughulisha...
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa...
Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina ripo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure.Hivi bado wapo?mlokwenda jee ipo kwa wapi nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata...
Nisaidie hiyo meli ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi
Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina lipo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure. Hivi bado wapo...
Habar wakuu nna mdogo wangu kasoma civil engineering anataka kwenda Norway kuhangaika kwa kazi yoyote. Nauliza wadau yoyote mwenye uzoefu wa viwango vya mishahara zakazi za aina zote uko norway
Je, pesa zako ni baraka au mzigo unaobeba harufu ya maumivu ya wengine?.
NB:Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi mwakajana.
Katika jamii ambayo utajiri hutafsiriwa kama nguvu, pesa mara...
Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita.
Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo.
Siku ya mapinduzi bwana Karume...
Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini
Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na...
Nilipewa barua kwamba watoto walio darasa la sita wanaosoma day inabidi waanze kwenda boarding kujiandaa mapema na darasa la saba, nilistushwa sana kwasababu shule ipo karibu na mtoto ana uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.