Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nina mpango wa kumchana Mzee wangu , anipe urithi wangu mapema .. Yani nateseka kutafuta pesa, wakati mshua ana asset, ambazo nikizitumia vizuri zinaleta pesa. Sasa kwanini nisimwambie anipe...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Mhitimu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira Arusha, Alexanda Bakunguza, amefungua kesi Mahakama Kuu dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
9 Reactions
27 Replies
5K Views
6 “Msiwape mbwa vitu vilivyo vitakatifu; wala msitupie nguruwe lulu zenu. Kama mkifanya hivyo, watazikanyagakanyaga na kisha watawageukia na kuwararua vipande vipande. (Matayo 7:6). Ni Sehemu ya...
2 Reactions
9 Replies
438 Views
Hakuna tajiri aliyefanikiwa bila madhabahu Hii matajiri hawawezi kukuambia Uzi umeisha
13 Reactions
136 Replies
4K Views
Anonymous
Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu...
1 Reactions
2 Replies
661 Views
. Angalisho. Binafsi mimi ni mwafrika mkristo, hivyo naamini zaidi Biblia na ndicho kitabu nachokifuatilia Au kukisoma zaidi. Ni katika harakati za kumuuliza Mungu wangu majibu juu ya maswali...
2 Reactions
4 Replies
742 Views
Mimi tokea kuanza kwa ITV na redio zake kupitia IPP ndio naona kuna vipaji vingi vya ma Dj na wahandishi wa habari hata yule mirad makepu katokea huko. Napenda sana kusikiliza taifa ya habari ya...
0 Reactions
12 Replies
679 Views
Nimelipia kifurushi tangu jana mpka bado chanel hazijafunguka na hela yangu hawajanirudishia Nafanyeje hapa au ndo nishaliwa?
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Hii natoa testimony 5 ambazo zitakudhirishia mapenzi sio pesa 1. Mpenzi wa kwanza. Wakala wa pesa kupitia mitandao ya simu. 👉Huyu demu mimi nilikua naenda kuweka miamala na Sina maisha miamala...
4 Reactions
4 Replies
733 Views
Mrembo Joyce Mbaga maarufu kama Nicole Joy Berry amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam kwa ajili ya kujibu mashtaka za tuhuma zinazomkabili. Kamanda wa Polisi...
7 Reactions
48 Replies
3K Views
MADA: ASTROLOGY MKUFUNZI: Dr. Rwakiunge Rugambwa (PhD) +255 788 773 928 UTANGULIZI: Nyota ni nini? Mara nyingi tunasikia watu huko nje au kila mahali wanazungumzia Nyota, Nyota, Nyota; lakini...
12 Reactions
30 Replies
2K Views
1. Ni Mpumbavu asiye na mfano 2. Ni Mnafiki mkubwa 3. Hajui anachokifanya (Juha) 4. Muongo na Hafai 5. Mchawi / Mshirikina 6. Anapelekeshwa kama Mwehu 7. Analazimisha umaarufu na kupendwa...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Karibu binti na mwana wa Afrika. Moja ya maeneo ambayo yanasumbua na kutesa watu, ni mahusiano, hasa katika mapenzi au ndoa. Kujiua, kuuwa, kukata tamaa, uraibu, ulevi, uzinzi, roho mbaya...
2 Reactions
6 Replies
792 Views
Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi...
10 Reactions
101 Replies
6K Views
Wakuu, Utapeli umepamba moto hasa mijini.unakuta umeenda na shida zako mjini unaishiwa kutapeliwa, E bhana ee kuna siku nilikuwa kahama mjini,barabara ya mataa ya kushuka, nina elfu 40...
3 Reactions
11 Replies
459 Views
Watasha walisema unachopanda ndicho utakachovuna huwezi panda mihogo ukavuna miwa... Hivi tulivyo sasa yaani kimawazo, kihisia, kiutendaji na hata namna ya kuyachukulia mazingira ni matokeo ya...
5 Reactions
4 Replies
287 Views
Serikali imeeleza kuwa moja ya changamoto kubwa inayoikumba mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania, ikiwemo Arusha, Manyara, Kilimanjaro, na baadhi ya maeneo ya Tanga, ni upungufu wa msongo wa umeme...
1 Reactions
3 Replies
440 Views
Ni kwa mara kwanza kusafiri na basi ambalo ni luxury kutokea Dar kwenda mkoa ule ambao miaka ya nyuma inasemekana ni mkoa uliosahaulika na ni sehemu ya adhabu kwa wafanyakazi wa serikali hii ya...
20 Reactions
601 Replies
69K Views
Hii mikazi sidhani kama kuna mtu anapenda kuifanya ila kuna stage ilitubidi wengine tufanye ili tusukume siku. Wapo ambao zimewatoa, na tupo ambao hazikututoa. Niliacha hii mikazi kipindi hicho...
28 Reactions
152 Replies
21K Views
Back
Top Bottom