Hakuna kitu cha kijinga na cha kishamba kama tabia ya kurithi adui au maadui wa mtu ,,, unakuta mtu anavuta taswira ya ubaya wa mtu au wa watu kwa kusimuliwa tu wakati hajawai hata kuwatia...
Mkuu wa idara ya Afya,Lishe na Ustawi Halmashauri ya Wilaya ya Meru Dkt. Evarist Chiweka ameongoza kikao kazi cha Waganga wafawidhi na waratibu wa Afya ngazi ya Halmashauri kujadili Taarifa ya...
Africa tuna matatizo sana, ukiwaangalia wabunge wengi wa Tanzania wana mivitambi mikubwa, mitumbo mikubwa, tuna wabunge matumbo tumbo.
Fyuu hovyo nimeona video clip ya like libunge la malinyi...
Askari wa Usalama wanaomlinda Rais wa Uganda Yoweri Museveni walimzuia mwanaume asiyetambuliwa aliyekuwa akijaribu kumkaribia Rais Museveni katika viwanja vya Msikiti wa Mbogo wakati wa mkutano wa...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi ya Ziwa Victoria kutoka Makomero - Mgongoro, uliopo kijiji cha Mwamayoka, Igunga...
Tuvalu ni nchi ndogo ya visiwani iliyoko katika Bahari ya Pasifiki, kati ya Australia na Hawaii. Inaundwa na visiwa tisa vidogo vya matumbawe na ina idadi ya watu takriban 11,000, hivyo kuwa moja...
Kampuni za Kitanzania Zahimizwa Kuchangamkia Zabuni Comoro
Kampuni za Kitanzania zimetakiwa kuomba kandarasi za ujenzi wa miradi inayofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Ufaransa visiwani Comoro...
Wananchi wanaoishi kwenye maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza na Kagera ambao hutegemea kusafiri kwa kutumia meli ya MV. Victoria wameombwa kutumia usafiri mbadala wakati huu ambapo meli hiyo...
🚨BREAKING: China’s first ever AI agent is here.
'Manus' can automate 50+ tasks at once, SNS analysis, financial transactions, research, purchasing, and many more. Some say it’s even more accurate...
Huko Siria kumekuwa pagumu mno
Sasa ni kuuana tu wenyewe kwa wenyewe
Al Julan ameomba meza wayajenge na wafuasi wa Assad, maana wamekuja na nguvu mpya na kutoa changamoto ya uhakika. Wanajeshi...
Wakuu habari za mda huu hili jambo nimelifiliria nikaona ni tatizo kubwa sana ambalo limetengenezwa kwenye jamii kwanini tunafundishwa kuogopa mgonjwa wa ukimwi ?
Yaani mtu akigundua unafukuzia...
Yaani unanunua jeans leo mwezi march unavaa ukifua mara mbili tu nguo inapauka vibaya mno kiasi cha kuonekana ni kama ya mwaka juzi. Hivyo hivyo na bidhaa nyingine, kama viatu yaani ni shida tupu...
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni...
Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Watafiti kutoka...
"USITAFUTE Mapenzi Katika Umri Wa Kutafuta PESA"
Jana Nimechelewa Sana Kulala Nilikuwa Nasoma Tafiti Fulani Kuhusu UMRI na MAISHA.
Nikajifunza Kwamba Kuna Umri Ukiwa Nao Fursa Nyingi Zinakuwa...
Inajulikana Rais Trump katika kipindi kisichozidi siku 100 maamzi yake yameathiri watu wengi na Taasisi nyingi duniani kote,najua Tanzania siyo kisiwa lazima kuna watu wameathirika na maamzi ya...
Naomba msaada kwa Tanzania Benki gani inatoa huduma hii ya Recurring Depost?
Nimejaribu kutafuta maelezo kwenye mtandao sijapata.
Nahitaji sana hii huduma
Nliposikia serikali imetoa kiasi cha Tsh Bilioni 30 kwa ajili ya ukarabati Uwanja wa Hayati Mkapa nlipigwa na Dafrao kwanza nikiamini hizo bilioni 30 zilikua na uwezo wa kujenga kiwanja standard...
Heri ya siku ya Uhuru Watanganyika wote.
Habari za saa wanachama wote natumai ni njema, moja kwa moja niende kwenye dhumuni la mada hii.
Mada hii inazungumzia Muafrika na akili , kama ambavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.