Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia...
4 Reactions
11 Replies
487 Views
Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT Aneyasema...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo. Aidha Inatarajia...
1 Reactions
110 Replies
8K Views
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Zaidi ya wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wamekabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila. Wananchi hao wameeleza kuwa hati hizo ni urithi kwa...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa. Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini...
5 Reactions
13 Replies
455 Views
Karibu binti na mwana wa Afrika. Nyota ni nini?. Lugha za dini, huita bahati, Neema, upako, n.k Kinyume chake ni mikosi, laana, gundu, nguvu za mapepo wabaya, bahati mbaya. Lugha za kidunia, Ni...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza niwape pole Watanzania wote Mashabiki na wapenda mpira kwa kadhia ya kunyimwa burudani ya soka kati ya watani wa jadi. Jambo lile limeleta hathari si kwa Azam tv Pekee Bali kwa watanzania...
3 Reactions
7 Replies
460 Views
Naomba kuulza jinsi ya kusoma advanced diploma ukitokea kidato Cha sita unatakiwa uwe credit gani au vigezo gani ukitokea form six
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Lawama hazijawahi kuondoa tatizo, Kila jambo lina faida na hasara! Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi! Pasipo...
2 Reactions
31 Replies
971 Views
1.France -89.4 mln 2.Spain-83.7Mln 3.USA-79.3mln. 4.China -65.7mln. 5.Italy -64.5Mln 6.Turkiye-51.2 mln 7.Mexico -45mln 8.Thailand-39.8mln 9.Germany-39.6 10.United Kingdom -39.4mln. My Take...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi) Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba Wote Elimu zao ni...
16 Reactions
96 Replies
3K Views
Majuzijuzi niliwaambia kwamba kwa sasa hii dunia inatengeneza watu soft sana, na niliwazungumzia waandishi wa habari walivyokuwa soft, si kama wale wa zamani, yaani usoft wao umekuwa kwenye kila...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni...
15 Reactions
53 Replies
2K Views
Sababu zipo nyingi ila huu udongo una percentage zake kuwafanya wadau wagome kurudi kwao wengine kugoma kabisa kwenda kwenye vituo vya kazi walivyopangiwa Kuna dada zetu ni heri ndoa ivunjike...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Aisee jamaa anapigika hapa kariakoo mda huu ni mwizi wa simu wale ambao ukipishana nao wanasema umewakanyaga dakika 2 ukijisachi mfukoni huna kitu Leo naona kajichanya hesabu zake zimefeli jamaa...
14 Reactions
45 Replies
3K Views
Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Ugonile,. Mimi ni muumini mzuri tu wa dini ya kikristo (msabato) ninae amini katika uwepo wa Mungu, shetani na evil spirits zote pamoja na uchawi kuwa vina exist. Jana nilikua napiga stori na...
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom