xtraodinary22
Member
- Dec 12, 2022
- 7
- 2
Winfrida au Jozina alikuwa akiishi eneo la Kwaoni Lungemba, lakini takribani miaka 14 iliyopita alihamia Kurasini, Dar es Salaam.
Kwanini unamtafuta mke wangu?Winfrida au Jozina alikuwa akiishi eneo la Kwaoni Lungemba, lakini takribani miaka 14 iliyopita alihamia Kurasini, Dar es Salaam.
Kwanini unamtafuta mke wangu?Winfrida au Jozina alikuwa akiishi eneo la Kwaoni Lungemba, lakini takribani miaka 14 iliyopita alihamia Kurasini, Dar es Salaam.
Mtumie Club Tz atakusaidia.Winfrida au Jozina alikuwa akiishi eneo la Kwaoni Lungemba, lakini takribani miaka 14 iliyopita alihamia Kurasini, Dar es Salaam.
Mimi naojua ilioko Iringa kati kati ya mafinga na ifundaUna uhakika Lungemba ipo moja tu hapa Mwanza
Mkeo sawa ila atanisaidia kumpata mtu fulani wa muhimu sana. Nitaaminije kuwa huyo ndieKwanini unamtafuta mke wangu?
Sio kwa ubaya ni rafik yangu wa kitambo na atanisaidia kupata taarifa za mshkaj wanguKwanini unamtafuta mke wangu?
Mimi najua alipo lakini sikuambii. Tena huku aliko wengi tunamfahamu kwa jina la Winne, wachache wanamtambua kama Frida.Sio kwa ubaya ni rafik yangu wa kitambo na atanisaidia kupata taarifa za mshkaj wangu
Ikiwa kila mtu atafanya hivyo dhumuni la huu uzi ni bure kabisa. Km unamfahamu tafadhali fanya uislamuMimi najua alipo lakini sikuambii. Tena huku aliko wengi tunamfahamu kwa jina la Winne, wachache wanamtambua kama Frida.
Kwanini unamtafuta mke wangu?